Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,397
Wananchi wanao uhuru wa kutafuta soko kule wanakoona kunafaa
ndio najua maana yake.
ndio najua maana yake.
na serikali ina wajibu wa kuratibu shughuli zote hizo kwa sababu linapotokea tatizo watu huishambulia serikali.Wananchi wanao uhuru wa kutafuta soko kule wanakoona kunafaa
Angalau unajielewa, serikali ina shamba?Ni kweli mkuu njaa hakuna namshukuru mungu na kuwapongeza walimaji
Kupata tarifa zao pia itatumika kwenye tafiti za kilimo!!!Hiyo satellite inawasaidia vipi wakaazi wa hili eneo? Sababu hapo napo ni Nairobi
Maneno meengi kumbe pumba tupu
Habari za jioni! mabibi na mabwana
Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Sijakuelewa unamanisha nin uzi unazungumzia chakula wew unazungumzia satelaiti si uandae uzi wa kuipongeza satelaiti ya kenyaACHA UJINGA WEWE JIRANI ZETU HAWAPO TULIPO!!!!!!!!
Kenya imetengeneza setilaiti yake ya kwanza kabisa ambayo imepangiwa kurushwa anga za juu Machi mwaka huu.
Wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi, wakisaidiwa na maafisa kutoka shirika la anga za juu la Japan walitenengeza chombo hicho katika mradi uliogharimu zaidi ya dola milioni moja.
Setlaiti hiyo itatumika kuchunguza mienendo ya kilimo, pamoja na kuchunguza maeneo ya pwani ya taifa hilo.
Mwandishi wa BBC Tomi Oladipo anasema setilaiti hiyo ni ya umbo la mchemraba na ina ukubwa wa sentimita 10 mraba - hujulikana kama nano-setilaiti.
Japan ilitoa ufadhili na jukwaa la kuitengenezea lakini ni Wakenya wenyewe walioitengeneza.
Setlaiti hiyo itatumwa hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) mnamo mwezi Machi na kuzinduliwa rasmi kuizungukza dunia na roboti mwezi mmoja baadaye.
Hatua hiyo itaifanya Kenya kuwa miongoni mwa mataifa mengine saba barani Afrika yaliyo na setilaiti zinazoizunguka dunia.
Mataifa mengine ni Misri, Afrika Kusini, Morocco, Algeria, Nigeria, Mauritius na Ghana.
Kundi la wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi walioitengeza walikuwa kundi la kwanza kufaidika kutokana na mradi wa pamoja kati ya Umoja wa Mataifa na shirila la anga za juu la Japan unaolenga kuzisaidia taasisi za elimu kutoka mataifa yanayostawi kutengeneza setilaiti zao.
Mkuu alituambia kuwa serikali haina shambaAngalau unajielewa, serikali ina shamba?
Imegawa trekta bure?
Imetoa mbolea?
Habari za jioni! mabibi na mabwana
Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Habari za jioni! mabibi na mabwana
Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Serikali inatakiwa ipongezwe kwa haya yafuatayo:
1. Pale ambapo imeweza kuandaa inputs bora kwa wakulima,mbolea bora, mbegu bora, na extension services za kuaminika
2. Pale ambapo imeweza ku- regulate soko la mazao wakulima wakaweza kuuza mazao yao kwenye soko ambalo ni competitive
3. Pale ambapo imeweza kuimarisha infrastructure mazao yakaenda sokoni bila shida.
4. Pale ambapo imeweza kujenga miundo mbinu ya umwagiliaji maji mashambani li kilimo chetu kisiwe cha kutegemea mvua
Sasa tujiulize mazao ya chakula yaliopo nchini ni results ya haya au ni kwa bahati tu sababu mvua zilinyesha na wakulima wakapambana na hali zao?