Mwaka huu hakuna Njaa Tuipongeze Serikali ya CCM!

.......

Mataifa mengine ni Misri, Afrika Kusini, Morocco, Algeria, Nigeria, Mauritius na Ghana.
....

Mauritius wana setilaiti lakini uchumi wao unakua termed level sawa na nchi nyingi zisizo na setilaiti.

Nafikiri vipaumbele ni muhimu.
 
Hiyo satellite inawasaidia vipi wakaazi wa hili eneo? Sababu hapo napo ni Nairobi
images


Maneno meengi kumbe pumba tupu
Tena za kijinga
 
Hivi njaa inasababishwa na nini? Labda mie sijui

Kuna tofauti kati ya man made na natural disasters.
njaa ya tanzania ilikuwa inasababishwa na watu kuuza akiba yote ya chakula walicho nacho hasa nje ya nchi.
 
Serikali inalima? Halafu awamu hii si ya kilimo, ni ya vi.wonder!!! Hapo ndugu?
 
Kuna wehu flani Kazi yao kulalama tu, njaaaaa njaaaaa lakini hawana lolote

Wanatamani vyakula vikosekane, wanatamani majanga ya mioto mashuleni, Kazi yao kuombea tetemeko

Wehu wale wanakera sana
 
Habari za jioni! mabibi na mabwana

Kama ilivyo desturi kipindi kama hiki wananchi wengi wa Tanzania hulia njaa na kuomba msaada wa chakula kwa Serikali .lakini mpaka sasa naona hali ya Chakula ni shwari nchi nzima na mvua za msimu zikiendelea kila kona ya nchi.
Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kadhaa za kukomesha njaa hapa Nchini.
Na huu ujinga, umasikini wa Watanzania tuiadhibu serikali ya chama gani?
 
ACHA UJINGA WEWE JIRANI ZETU HAWAPO TULIPO!!!!!!!!
Kenya imetengeneza setilaiti yake ya kwanza kabisa ambayo imepangiwa kurushwa anga za juu Machi mwaka huu.

Wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi, wakisaidiwa na maafisa kutoka shirika la anga za juu la Japan walitenengeza chombo hicho katika mradi uliogharimu zaidi ya dola milioni moja.

Setlaiti hiyo itatumika kuchunguza mienendo ya kilimo, pamoja na kuchunguza maeneo ya pwani ya taifa hilo.

Mwandishi wa BBC Tomi Oladipo anasema setilaiti hiyo ni ya umbo la mchemraba na ina ukubwa wa sentimita 10 mraba - hujulikana kama nano-setilaiti.
Japan ilitoa ufadhili na jukwaa la kuitengenezea lakini ni Wakenya wenyewe walioitengeneza.

Setlaiti hiyo itatumwa hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) mnamo mwezi Machi na kuzinduliwa rasmi kuizungukza dunia na roboti mwezi mmoja baadaye.

Hatua hiyo itaifanya Kenya kuwa miongoni mwa mataifa mengine saba barani Afrika yaliyo na setilaiti zinazoizunguka dunia.

Mataifa mengine ni Misri, Afrika Kusini, Morocco, Algeria, Nigeria, Mauritius na Ghana.

Kundi la wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi walioitengeza walikuwa kundi la kwanza kufaidika kutokana na mradi wa pamoja kati ya Umoja wa Mataifa na shirila la anga za juu la Japan unaolenga kuzisaidia taasisi za elimu kutoka mataifa yanayostawi kutengeneza setilaiti zao.
Umetoka wapi mkuu. Mbona kama umevaa Shela msibani.
 
Back
Top Bottom