Nilijua shufwaa ndo mzuri anyway ngoja tusubir huu witir utakuajeKwa kawaida mwaka "witiri" ni mzuri tofauti na "shufwa"
Nenda jera wapo weng sanaNatafuta binti jamani umri miaka 22-24+ 35- tu !!
Nenda jera wapo weng sana
Kwa mbaaali nakubalina nawe,pia uzoefu unaonyesha hivyo,ni muda yote yatakuwa hadharani.....Kw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
Babati mbaya huyu aliye madarakani haamini katika "kutengeneza mazingira " , yeye anaamini tume na polisi wanatosha kukifanya chama chake kishinde uchaguzi wowote uleKw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
Kawaida ya nani. Kila mwaka una baraka na matatizo yake. Hakuna mwaka wenye neema 100% au matatizo 100%Kwa kawaida mwaka "witiri" ni mzuri tofauti na "shufwa"
Pumbavu sana wewe , ujinga wako huu peleka jukwaa husika
Pumbavu sana wewe , ujinga wako huu peleka jukwaa husikaPumbavu sana wewe , ujinga wako huu peleka jukwaa husika
Jinga lao njoo hukuHaya ni maoni na tafakuri yangu.
Iwe ulilia kwa sauti na kububujikwa na machozi mengi au ulililia tumboni na kuvaa tabasamu danganyifu mwaka huu wa 2018, kilio zaidi kwa mwaka 2019 .
Mwaka 2019 Tutarajie haya:
1) Misaada mingi ya wahisani kupungua sana kama sio kukwama.
2) Mapato mengi ya serikali kutumika kulipia miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa kama SGR, Stiglers Gorge, Ujenzi wa Meli, Kununua Ndege na Miundo mbinu
3) Kupanda kwa gharama za nishati ya mafuta na usafiri kama ilivyoanza kuonekana hivi sasa.
4) Kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine.
5) Ukosefu wa ajira rasmi - Hakutakuwa na ajira mpya.
6) Anguko kubwa la Sekta binafsi ambayo ndio inaajiri theluthi mbili ya watanzania wenye ajira rasmi.
7) Matumizi mapya ya serikali haswa uchaguzi wa serikali za mitaa nakadhalika.
8) Kuanguka kwa sekta ya kilimo ambako kutatokana na anguko la bei ya mazao na uzalishaji kama inavyojionesha katika kanda zinazozalisha mazao kipindi hiki cha vuli.
Ni vizuri Watanzania wakajua yajayo na yatarajiwayo ili wachukue tahadhari zinazofaa - KNOWLEDGE IS POWER
Heri ya mwaka mpya 2019 Watanzania wote
Wanasubiliwa=wanasubiriwaAjira za afya zitatoka hospital kibao zimejengwa na Jafo zishakamilika wanasubiliwa watumishi tu
NimeelewekaWanasubiliwa=wanasubiriwa
Are you going to create that better future in vacuum???aren’t you aware of the unconducive environment and other factors at hand that are beyond individual’s capability and that hinders creation of a better future?Life is always tough. The question is, what are gonna do about it? Moaning and groaning won't help you in anyway. Neither will blaming the government or your employer. You need to take charge and create your better future.
Jaribu kupunguza hizi mistakes za grammar mkuuNimeeleweka
That's the way you see it not necessarily what I see.Are you going to create that better future in vacuum???aren’t you aware of the unconducive environment and other factors at hand that are beyond individual’s capability and that hinders creation of a better future?