Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kimaisha. Tuchukue tahadhari

Mwaka kesho ajira zitapungua kwenye CSOs na kwenye private sector, shillingi itayumba kidogo. Watakao benefit from pre-election spending boom ni wale ambao watakuwa well connected, au maeneo yatakayo kuwa targeted kwa sababu za kiuchaguzi.

Kwa familia na makabila yaliyoko vyama vya upinzani hali huenda ikazidi kuwa ngumu.

Solution ni watu kuwa vumilia wanafamilia watakao punguzwa kazini. Na taasisi/makampuni zitoe short-term jobs kwa watakao punguzwa makazini. Serikali za mitaa ziuze vipande vidogo vidogo vya ardhi kwa watakao punguzwa makazini.

Ni vizuri pia watanzania wakafanya biashara na watu ambao inahisiwa wanatengwa na mfumo wa kisiasa, pamoja na kuwapa ajira watu hao. Hii itawapa hifadhi ya jamii watu hao na kuwa punguzia makali ya maisha.

Ni vizuri pia watu wakajua kwamba kila mtu anaelipa kodi anastahili public goods and services kwenye mkoa wake, regardless ya kabila, dini/dhehebu au itikadi yake.
 
Ukweli ulio ktk mzunguko wa maisha kidunia kuna miaka ya kupanda na kushuka kwa gharama
Pia hili la mafuta kupanda bei ni janga kwa baadhi ya nchi nyingi dunia
 
Kw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
Kwa mbaaali nakubalina nawe,pia uzoefu unaonyesha hivyo,ni muda yote yatakuwa hadharani.....
 
Kw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
Babati mbaya huyu aliye madarakani haamini katika "kutengeneza mazingira " , yeye anaamini tume na polisi wanatosha kukifanya chama chake kishinde uchaguzi wowote ule
 
Mwaka 2019 utakuwa mwaka mbaya sana kwa majizi na wapiga dili..

Mwaka 2019 utakuwa mwaka mzuri sana kwa wazalendo..

Ukiona mtu analalamikia maisha magumu 2019 huyo ujue hataki kufanya kazi, kazi mbona zipo awamu ya tano imetengeneza nyingi sana..

Wazalendo oyeee...
 
Haya ni maoni na tafakuri yangu.

Iwe ulilia kwa sauti na kububujikwa na machozi mengi au ulililia tumboni na kuvaa tabasamu danganyifu mwaka huu wa 2018, kilio zaidi kwa mwaka 2019 .

Mwaka 2019 Tutarajie haya:

1) Misaada mingi ya wahisani kupungua sana kama sio kukwama.

2) Mapato mengi ya serikali kutumika kulipia miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa kama SGR, Stiglers Gorge, Ujenzi wa Meli, Kununua Ndege na Miundo mbinu

3) Kupanda kwa gharama za nishati ya mafuta na usafiri kama ilivyoanza kuonekana hivi sasa.

4) Kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine.

5) Ukosefu wa ajira rasmi - Hakutakuwa na ajira mpya.

6) Anguko kubwa la Sekta binafsi ambayo ndio inaajiri theluthi mbili ya watanzania wenye ajira rasmi.

7) Matumizi mapya ya serikali haswa uchaguzi wa serikali za mitaa nakadhalika.

8) Kuanguka kwa sekta ya kilimo ambako kutatokana na anguko la bei ya mazao na uzalishaji kama inavyojionesha katika kanda zinazozalisha mazao kipindi hiki cha vuli.

Ni vizuri Watanzania wakajua yajayo na yatarajiwayo ili wachukue tahadhari zinazofaa - KNOWLEDGE IS POWER

Heri ya mwaka mpya 2019 Watanzania wote
Jinga lao njoo huku
 
Life is always tough. The question is, what are gonna do about it? Moaning and groaning won't help you in anyway. Neither will blaming the government or your employer. You need to take charge and create your better future.
 
Are you going to create that better future in vacuum???aren’t you aware of the unconducive environment and other factors at hand that are beyond individual’s capability and that hinders creation of a better future?
 
That's the way you see it not necessarily what I see.
 
Back
Top Bottom