Mwaka 2014 utaukumbuka kwa lipi?

Mwaka 2014 utaukumbuka kwa lipi?

ni mwaka ambao bunge la tanzania liliendesha kikao hadi saa tano usiku,
pia ni mwaka ambao nimempoteza baba yangu mzazi mzee Namahochi
mungu akulaze mahali pema peponi
 
Mh!Nakumbuka mengi ila nlivyougua mgongo na kulazwa mwezi mzima ndio kitu ambacho sitakisahau!!
 
kweli aise ata ile meli ya china ilizama na kuuwa wanafunzi na raia wengi sana 2014
pia kuna wale wanafunzi waliouwawa kwa kupigwa risasi na magaidi sijui ni wapi kule lkn 2014

Wanafunzi waliopigwa risasi na magaidi ilikua ni Pakistan
 
Waziri kusema yy hako kweny fasheni ya kujiuzulu, baada ya wiki akafashenishwa
 
Kuumwa kwa muda mrefu maradhi yasiyo onekana wala kujulikana hakika bado pa kusimulia ila Mungu mkubwa bado napumua acha mwaka upite, miezi 6 kitandani? Tumche Mola jamani
 
Mkuu Scatter Ulipotea,kumbe Ulikuwa Na Masahibu Ya Kumfumania Wife Na Mjeda,pole Sana,huu Ni Mwaka Mbaya Sana Kwangu Nili Resign Kazi Niliyokuwa Nalipwa Zaidi Sh 850,000 Kwa Mwezi Baada Ya Kupewa Ahadi Na Wa Australia Ambao Nilipata Eneo La Kuchimba Dhahabu Wakaniahidi Kuleta Vitendea Kazi,ila Mwisho Wa Siku Ahadi Yao Inayoyoma Tu Na Sioni Chochote,na Pia Nilivyonusurika Kifo Ktk Ajali Ya Gari Ilipopinduka Mara Nne,shortly Acha Huu Mwaka Uishe Ulikuwa Mbaya Sana Kwangu.
 
Back
Top Bottom