Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wapendwa wana jf
Mimi nimekuwa nafuatlia JF kwa muda mrefu japo nimekuwa sijajiunga hadi wakati huu nilipo ona na mimi niwakilishe dukuduku langu hapa nipate ushauri
Kwa taarifa tu ni kuwa nipo mapumzikoni ya Christmas`na mwaka mpya kama ilivyo kawaida yetu sisi wenyeji wa mlima mrefu kuliko yote Tanzania kurudi ma kwetu kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
Nina story ndefu ila kwa ufupi ni kuwa, umri wangu umesonga kiasi na hivyo kunifanya niwe mpweke hivyo nikaamua kuwa na girl friend wa mkoa flani kwa ajili ya kupata kampani na kuangalia kama maendeleo yatakuwa mazuri, twende hatua nyingine.
Huyu dada ana umri wa kutosha tu miaka kama 32 hivi ambayo i miaka inayo nikaribia. Tangu nikutane naye, ni kipindi cha muda wa miezi sita hi vi. Kinacho nikwaza sana ni kuwa: kwanza amenikuta na kausafiri kangu ka kawaida, ka kuniwezesha kwenda kwenye shuhuli zangu za kujitafutia maisha; tatizo sasa ni kero kila mara eti, anadai usafiri wangu umepitwa na wakati ninunue Prado???
Binafsi naona kuna mambo mengi ya changamoto yaliyoko mbele yangu kuliko hiyo pado anayo ingangania.
Kinacho ni kwaza ni kuwa, kwa nini ani adhibu kwa kuni kera na vitu ambavyo sina uwezo navyo wakati yeye mwenyewe anafanya Biashara ila hajaweza kununua usafiri wowote.
Nahisi uzuri wa umbo lake na Elimu yake ya kidato cha sita vinamfanya aone kuwa sitaweza kumuacha au pengine nikimuacha sitaweza kupata mtoto mzuri na aliyesoma kama yeye.
Mimi kama mwaname halisi wa Kiafrika nahisi huyu hana sifa ya kuwa mke hivyo navumilia tu nikitoka huku Rombo baada ya Mwakampya ; najitoa ili nijipange upya
Kwa mtazamo wangu, nahisi alishakuwa na mtu mwenye Prado hivyo anaimisi.
Eti ni kweli hakuna wanawake wazuri na walio soma zaidi ya hicho kidato cha sita anacho nitishia nacho?
Unaweza kuni pm ukipenda au hata kwa email yangu ya "mlimameru@gmail.com"
Nawakilisha!!!
- Heri ya mwaka mpya!!!
- sui la akei yia 2013!!!
- Heri ya mwaka msha vandu voose!!!
- kwanku chung ne year!!!
- Happy new year to you out there!!!