Mwafrika ni nyani akiyechangamka

Mwafrika ni nyani akiyechangamka

Tena afadhali Nyani, anaweza kumudu kuiba mahindi akalisha famila yake. These so called presidents can not make any tangible achievements for their people!@ Yapo ku consolidate power kutawala milele!

Nilisema kama kuna kosa kubwa, tena kubwa alilifanya Mungu ni Kumuumba mwafrika!
Duh! taratibu mkuu.....
 
Kwa sababu ana kundi lake kuubwaa la machawa mpaka jeshini, usalama wa taifa, police etc etc ambao wananufaika na yeye kuwepo na kuwaachia shamba wavune mazao na kuuza wapendavyo...
exactly, solution ni nguvu ya wananchi na msaada kutoka NATO may be! NATO iwape silaha wanaharakati kiumane
 
bado nadhani tuende ndani tupate ukweli, sijaridhika:

Have is used with the pronouns I, you, we, and they. Has is used with he, she, and it. Therefore in our sentence, Afrika goes with "it"

How do you use have?

Have is the conjugation of to have that’s used when:

  • speaking in the first person (I, we)
  • speaking in the second person (you)
  • speaking in the third person plural (they)
 
Kiukwel kupitia matendo ya viongoz wetu wa nchi za kiafrika anzia Uganda rwanda na nch zote za kiafrika matendo yao yanafanana Sana kujipendelea kutotaka Kutoka madarakani kufuja pesa za uma kwa matumiz binafsi upendeleo wa Kaz za umma

Mambo haya yote yanafanya tuonekane wapuuzi

Viongoz wetu hawapend kushauriwa Wala kuchukua hatua had pale mambo yakiharibika

Tatizo la maji Tanzania kila mtu anashangaa tuna maziwa makuu 3 viktoria tanganyika na nyasa bado maziwa madogo madogo lakn ajabu hapo mwanza kigoma au Ruvuma wanatatizo la maji

Wakat wa tatzo la maji hapa dsm dawasa walitoa tangazo wenye visima wasiuze maji Sasa unajiuliza Hawa n watu au nyani.
Wewe ni nyani wa ngapi kwenu kuzaliwa??
 
Tena afadhali Nyani, anaweza kumudu kuiba mahindi akalisha famila yake. These so called presidents can not make any tangible achievements for their people!@ Yapo ku consolidate power kutawala milele!

Nilisema kama kuna kosa kubwa, tena kubwa alilifanya Mungu ni Kumuumba mwafrika!
Au sio mwanawane...calling and African a monkey is an insult to monkeys🤣🤣🤣🤣
 
Unamwambia aje Saa mbili asubuhi, anakuja Saa Tano!! Sijui kisehemu katika ubongo kinachoshughulika na mda kimeingia maji au ni uumbaji tu wa Mungu. Tumeacha Mila zetu tukafuata za Kizungu!! Tutafakari kwa makini!!
 
Back
Top Bottom