Mwadui

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Williamson Statue - Huyu Ndio mgunduzi wa mgodi huu ambao kwa sasa wafanana na zizi.. Mwadui 65.JPG HEAD OFFICE AMBAYO Yake aliyojenga... Head Office 02.jpg
 
kama almasi haina dili kwa wakazi wa mwadui ni bora mashimo hayo yafukiwe na asionekane mtu eneo hilo..
 
Mwadui ilikua zamani bwana,Ulaya ndogo
Enzi hizo............Makongolosi Chunya nayo ilikuwa inakubalika, Malkia alikuja mwenyewe kuchukua kilos and kilos of gold pale.........sasa hivi yamebaki mahandaki matupu.........

halafu Cameroon anatuambia tuiname ndo atupe msaada.............kudadeki, labda amuinamishe kicchwa nazi anayeenda kuomba omba kila uchwao.
 
He he he Mwadui ilikuwa raha jamani kama ulaya
kuna Nyumba kubwa, Boidi ya Chini, Juu, Compaund,
He he siku hizi kwisha habari yake
 
He he he Mwadui ilikuwa raha jamani kama ulaya
kuna Nyumba kubwa, Boidi ya Chini, Juu, Compaund,
He he siku hizi kwisha habari yake
Swimming pool kule kwa meneja,Gari la kupitisha maziwa asubuhi,shule nzuri,ilikuwa zaidi ya ulaya
 
Lakini almasi ilikosa mshiko baada ya hawa managers wa kibongo kuachiwa kazi..angalia list yao hapo chini.....Most of them walipata first class education canada na UK...Hata watoto wao waliobaki wengine wana uraia wa nchi hizo na wengine wamerudi uko..lakini
baba zao si kukosa support toka mbele au serikarini wakashindwa..inawezekana wakuu walikuwa wanakuja kuchota mali.

Mwadui 62.JPG
Hii ndio ilikuwa Swimming pool now ni kama bwawa la virui rui...wale mazalia ya chura...
Mwadui 42.JPG
 
Attachments

  • Mwadui 22.JPG
    Mwadui 22.JPG
    777.4 KB · Views: 79
Swimming pool kule kwa meneja,Gari la kupitisha maziwa asubuhi,shule nzuri,ilikuwa zaidi ya ulaya

Ha ha ha ha kweli wewe umeishi. Unakumbuka "Dungu" na ile mikate ya "Duka Kubwa" na "Banzi" na "Keki" ha ha ha
Kweli Mwadui tulikula raha, Unakumbuka "Songwa" Recration"
 
Swimming pool kule kwa meneja,Gari la kupitisha maziwa asubuhi,shule nzuri,ilikuwa zaidi ya ulaya

Ile Ilikuwa Inaitwa English Medium School....Na mwalimu kasoyaga ndio alikuwa head pale...siku hizi sijui wanaita Anglican English Medium School Imechoka ntaweka picha zake gate kama zizi hii masiku....madarasa hayajawahi fanyiwa repair kamwe....
 
Ha ha ha ha kweli wewe umeishi. Unakumbuka "Dungu" na ile mikate ya "Duka Kubwa" na "Banzi" na "Keki" ha ha ha
Kweli Mwadui tulikula raha, Unakumbuka "Songwa" Recration"

Duka Kubwa....pale kwa mama nguya keki na banzi...kumbuka wewe...kiuma uma..wewe? Kumbuka mitaa ya kawawawa,karume,uhindini....fire Line polisi sekoutoure? 1980's wakati wa trekta la maziwa na token za maziwa fresh na mgando?
 
Ha ha ha ha kweli wewe umeishi. Unakumbuka "Dungu" na ile mikate ya "Duka Kubwa" na "Banzi" na "Keki" ha ha ha
Kweli Mwadui tulikula raha, Unakumbuka "Songwa" Recration"

Ukiiona Songwa hizi siku hata maji hakuna pamekauka kiaina....ile kitu kama jukwaa watoto walikuwa wanacheza pale sasa hivi si salama kwa watoto...hakuna ma bembea...wala uko ukoka"majani yake no'
 
Duka Kubwa....pale kwa mama nguya keki na banzi...kumbuka wewe...kiuma uma..wewe? Kumbuka mitaa ya kawawawa,karume,uhindini....fire Line polisi sekoutoure? 1980's wakati wa trekta la maziwa na token za maziwa fresh na mgando?

Dah umenikumbusha mbali sana pia kuna alamasi road, dairy farm, ai dah haya bana
 
Ile Ilikuwa Inaitwa English Medium School....Na mwalimu kasoyaga ndio alikuwa head pale...siku hizi sijui wanaita Anglican English Medium School Imechoka ntaweka picha zake gate kama zizi hii masiku....madarasa hayajawahi fanyiwa repair kamwe....

Na ninasikia hakuna tena cha shule A, B, wala C imekuwa moja tu?? Dah Mwadui kwishney
 
Hii ndio Ilikuwa Hospital ya rufaa kwa wakati ule ilikuwa full equipments.....1990's Hapa
General  Hospital.jpg
English Medium School late 1990's...
English Medium.jpg
Ionekanavyo sasa kutokea Kwenye gate....
IMG-20110716-00452.jpg
 
Back
Top Bottom