Mwadui

Mwadui

Ha ha ha kwani vipi PJ nimeishi huko enzi hizo raha mstarehe maziwa mnaletewa na trekta home, mnalipa na "token" mnapelekwa na basi shule ai jamani enzi hizo raha kweli
Jamani acha tu,mambo yalikuwa powaaa,watoto tulikuwa hatujui shida,nilienda mwadui 2008,pamechoka rami imechoka yaani inasikitisha.
 
Na ninasikia hakuna tena cha shule A, B, wala C imekuwa moja tu?? Dah Mwadui kwishney

Ndio sasa hivi wameifanyia renovation imepakwa pakwa rangi imekuwa mwadui primary school chini ya Ms.Lewis....More picha tu come....wameweka na uzio hivi flan.....

Dah umenikumbusha mbali sana pia kuna alamasi road, dairy farm, ai dah haya bana

Yeah mtaa wa head office down kama unaenda hospital balaa...ilikuwa full rami wakati huo sasa hivi vumbi kama njia ya ng'ombe.
 
Watu mnaishi bonge ya house halafu tena mnakuwa na viboi,maji twentifo hours,umeme jamani mwadui
 
Jamani acha tu,mambo yalikuwa powaaa,watoto tulikuwa hatujui shida,nilienda mwadui 2008,pamechoka rami imechoka yaani inasikitisha.

Check Sekotoure road hiyo hapo chini.....Enazi hizo.....na mie mwaka huo huo nilienda mwaduo na mwaka huu nilienda msibani...wa mzee Pupa...if u remember him...

Kawawa Road.jpg
Kumbuka haka kashule kwa watoto waliosoma Mwadui Mashariki au English Medium School watakuwa wanakafahamu sana....ndio ilikuwa chekechea yetu....
​
Kindergaten.jpg
 
Ndio sasa hivi wameifanyia renovation imepakwa pakwa rangi imekuwa mwadui primary school chini ya Ms.Lewis....More picha tu come....wameweka na uzio hivi flan.....

Yeah mtaa wa head office down kama unaenda hospital balaa...ilikuwa full rami wakati huo sasa hivi vumbi kama njia ya ng'ombe.

He usinambie hakuna rami?? He he he hiyo kali na GM anakwendaje sasa ama hapiti hiyo njia??

Na bado anaishi kule kwa "Mipawa" Huyo ndo nilimuacha akiwa GM lakini nilisikia alikuja Auckland
 
Check Sekotoure road hiyo hapo chini.....Enazi hizo.....na mie mwaka huo huo nilienda mwaduo na mwaka huu nilienda msibani...wa mzee Pupa...if u remember him...

View attachment 42357
Kumbuka haka kashule kwa watoto waliosoma Mwadui Mashariki au English Medium School watakuwa wanakafahamu sana....ndio ilikuwa chekechea yetu....
​
View attachment 42358
Inauma kwa kweli walivyokuja wasouth wameharibu kila kitu anzia airport
 
Check Sekotoure road hiyo hapo chini.....Enazi hizo.....na mie mwaka huo huo nilienda mwaduo na mwaka huu nilienda msibani...wa mzee Pupa...if u remember him...

Mzee Pupa namafahamu sana alikuwa anatupa mafundisho church pale RC na Mwalimu Chubwa, Father Charles ila wote nasikia walifariki sina hakina na Mwalimu Chubwa
 
He usinambie hakuna rami?? He he he hiyo kali na GM anakwendaje sasa ama hapiti hiyo njia??

Na bado anaishi kule kwa "Mipawa" Huyo ndo nilimuacha akiwa GM lakini nilisikia alikuja Auckland

Ile ya kwenda kwao ilikuwa na vumbi toka kitambo....GM anaishi pale pale ingawa wamejenga vinyumba vingi vingi kwa nyuma..vya kuishi wazungu contractors...
 
Mipawa ndo alikuwa meneja mzalendo wa mwisho,nasikia mama mipawa alisema wanaondoka lakini wamekusanya akiba hadi ya vitukuu
 
Wanajenga nyumba na wakati wanabomoa nyingine waharibifu hawa watu wajameni
 
Check Sekotoure road hiyo hapo chini.....Enazi hizo.....na mie mwaka huo huo nilienda mwaduo na mwaka huu nilienda msibani...wa mzee Pupa...if u remember him...

Mzee Pupa namafahamu sana alikuwa anatupa mafundisho church pale RC na Mwalimu Chubwa, Father Charles ila wote nasikia walifariki sina hakina na Mwalimu Chubwa

Yep alifariki mwaka huu na mama chubwa kama last year....kwenye ajari ya basi..mzee Pupa alikuwa katekista wa kujitolea...alaitufundisha wengi sana till recently.
 
Mipawa ndo alikuwa meneja mzalendo wa mwisho,nasikia mama mipawa alisema wanaondoka lakini wamekusanya akiba hadi ya vitukuu

Ingekuwa kweli amekusanya akiba angekuwa anateseka kwenye udiwani (Jina la kijiji nimekisahau)
 
Jamani acha tu,mambo yalikuwa powaaa,watoto tulikuwa hatujui shida,nilienda mwadui 2008,pamechoka rami imechoka yaani inasikitisha.

Shida tuijulie wapi?? Mambo ya kulipa sijui nyumba, maji, umeme yalikuwa hayapo full kutumia jiko la umeme mweeehhh
 
Mipawa ndo alikuwa meneja mzalendo wa mwisho,nasikia mama mipawa alisema wanaondoka lakini wamekusanya akiba hadi ya vitukuu

U wish umuone now si alikuwa na pesa...akaenda kuuziingiza kwene CCM ilia awe hata awe diwan then agombee ubunge..kwani zimebaki..sijui kama hata ujumbe wa kata kapewa.
 
Enzi hizo............Makongolosi Chunya nayo ilikuwa inakubalika, Malkia alikuja mwenyewe kuchukua kilos and kilos of gold pale.........sasa hivi yamebaki mahandaki matupu.........

halafu Cameroon anatuambia tuiname ndo atupe msaada.............kudadeki, labda amuinamishe kicchwa nazi anayeenda kuomba omba kila uchwao.
Duu! kweli watu mna hasira kali

Buswelu hivi lile soko la Maganzo bado lipo??? ilikuwa raha jamani eti mnakwenda na Baiskeli kununu mitumba mnakula miwa ha ha ha mweeehhh
 
Back
Top Bottom