Nahitaji application ambayo itasaidia kurecord stock movements kwenye maduka yangu mawili

Jul 11, 2023
6
13
Habari wadau

Nahitaji application ambayo itasaidia kurecord stock movements kwenye maduka yangu mawili.
Moja ni Head office na moja ni branch.

Yaan mtu anaye uza kwenye branch ,taarifa zote atakazozijaza za stock, zije automatically kwenye taarifa za simu yangu (kwenye head office ).

Naomba Msaada, kama ipo free app nitashukuru, Au kama kuna App developer anaweza nicheki kupitia uzi huu tukayajenga zaidi.

Asante
 
Free app hakuna. Tumia software za Microsoft zipo nzur unaweza hata kucontrol matumizi,stock n.k japo ni gharama kidogo Ila zinasaidia sana. App Mara nyingi zinafanya Kaz kwa simu tu huwezi kuinstall kwa computer.

Karibu kwa ushaur zaid
 
Tafadhali naomba kujua namna hii inavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom