Udadisi ni akili ya kibinadamu na binadamu kutamani kujua mwanzo wake na asili yake ni kawaida. Pole kwa wewe unae taka fact wakati unajua ni true Mungu yupo.
Mungu ni Mungu wamtafutao kwa bidii wata mwona,
KAMA KUNA MWANGA UJUE KUNA GIZA, kama kuna shetani ujue kuna MUNGU,
Mambo ya MUNGU na ya shetani ni nyuma ya upeo wetu,
kubwa shetani anatumia wachawi na majini ambayo we waogopa
Mungu hajidhirishi kama hao na hii kwa wasio na upeo wanapuuza na kupeza elewa kilajema hutoka kwa Mungu.
Da I like this kind of thinking & analysis .thumb up
God is omniscient, omnipresent and omnipotent. Ndio sifa zake kuu. Hahitaji Mwanadamu kutambua uwepo wake ili awe Mungu. Anasifa ya kuwepo kabla ya wakati hivyo anasifa ya alfa and omega. Hutenda kwa wakati wake na kwa vile hawajibiki kwa mwanadamu halazimiki kueleza kwa nini imekuwa hivyo. Ndio maana halazimiki kutoa maelezo kwanini kichanga hufa au kwanini wauaji huachwa waendelee kuua.
That is hardly thinking, let alone analysis.
It is the collapse of structured thinpking.
I rebuted that above.
You will do well to address my rebuttal.
Nakukubali kwa kuwa muwazi.
Basically unakiri kwamba ukichunguza sana, imani ya mungu ni wishful thinking tu, haipo based on any semblance of facts.
Lakini umekubali "fear of the unknown" i take over your rational reasoning.
Mtu anaweza kukuuzia insurance policy fake, kwa sababu ya uoga tu, ukakubali kuinunua kwa sababu unaogopa, huku unajua kwamba hii insurance policy ni fake.
Namaanisha vyote.
Lets establish some fundamental ground rules.
Ni lazima kwa vyote (let's get mathematical for the sake of clarity, vyote = all the contents of the truly universal set) kuumbwa?
Kuna siku nilikuwa ninapitia posts humu JF nikakuta umemwambia mtu akatafute kitabu kinachoitwa "The Lost Books of the Bible", nilikitafuta na kukisoma na nikagundua ni ukweli usiopingika kwamba biblia tunayoisoma "imechezewa" kwa makusudi kwa sababu wanazozijua hao walioichezea biblia.
Katika kusoma kwangu kile kitabu "The Lost Books of the Bible" nikagundua kwamba mwandishi anayakubali yale maneno yaliyoandikwa kwenye biblia ila anacholalamikia yeye ni kwa baadhi ya watu wa kanisa wa kipindi hicho kuamua ni kipi kiwepo na kipi kisiwepo kwenye biblia kwa sababu walizozijua wao wenyewe.
Mimi ilifikia kipindi nilikuwa ninajiuliza kama yale yaliyoandikwa kwenye biblia yaliandikwa na manabii kweli au ni usanii ila baada ya kuona mwandishi amekubali yale maneno ya kwenye biblia yaliandikwa na manabii/mitume na ni genuine (kitu ambacho kilinipa moyo kusadiki kwamba Mungu yupo) basi mwandishi anasadiki kwamba Mungu yupo.
Unaonaje hili swala la mwandishi wa hiko kitabu kuona kwamba maandiko ya biblia ni genuine na tatizo la mwandishi lipo kwenye uchakachuaji wa biblia tu? Huoni kwamba mwandishi kuyaamini kwake maandiko ya biblia kunaonyesha kwamba Mungu yupo?
Uliorodhesha vitabu zaidi ya hiki na hivyo vingine nilivipitia japo ni juu-juu lakini sikuona hata kimoja kikisema kwamba maandiko ya biblia ni mambo ya kutungwa. Vitabu vyote vimekubali biblia ni genuine.
Hauoni kwamba uGenuine wa maandiko ya biblia unadhihirisha uwepo wa Mungu?
ok but mind u ktk hivyo vyote God is not included coz he is simply not among hivyo 'vyote'
Haha collapse of structure thinking?!u make me laugh.you are saying you rebutting what?and which one are you concurring?
Nyote mnaokataa hakuna Mungu,mnaishia kusema kuna nature,kwa hiyo lazima uelewe,unakataa kipi na unakubali kipi,ukisema kuna nature,je huyo nature ni nani/au nature ni nini.Utarudi pale pale,wa uwepo wa Mungu muweza.Nashukuru kwa kupitia kile kitabu. Kwanza kabisa kile kitabu ni basic sana na cha zamani sana, version yangu ilikuwa first printed ni ya 1926.
Process ya kupata realization si ya kuipata kwenye kitabu kimoja. Ni ya ngazi kwa ngazi, layer kwa layer kama layers za kitunguu kimoja kikubwa.
Layer ya kwanza ni hiyo ya kujua kwamba biblia hii ya sasa inayotumiwa na wengi imekuwa edited na watu, chiefly Constantine na maaskofu wake katika "Council of Nicea". Wakaamua nini kibaki na nini kiondoke, mara nyingine kwa sababu za kisiasa ili kuendeleza nguvu za utawala wa Roma.
Muandishi kukubali kwamba vitabu vimeandikwa na manabii ni layer nyingine. Kwa sababu nabii ni nani? Nabii si mtu? Sasa hawa watu si Wayahudi? Kama walikuwa na political reasons za kutaka kufanya world domination kwa nini wasitumie dini? Kwa nini wasiseme kwamba wana wa Israel ni taifa teule la mungu? Dini imetumiwa kama sehemu ya siasa iliyopewa utakatifu tu.
Ukizama zaidi katika historia ya dini utaona jinsi gani watu walivyotumia dini kutaka kuleta order kwanza. Bila ya woga wa mungu watu wangeuana sana kwa hiyo wazee ikabidi waanze kutisha watu kwa kuhadithia mizimu na mungu.
Ilipoonekana kuwa hili linawezekana, na watu kwa ujinga wa kutoelewa nature (radi, kupatwa kwa jua etc) waliogopa mungu, wazee hawa wakakaa na kuorganize dini, amri kumi za mungu na makanisa, wakateua wafalme waliobarikiwa na mungu, wafalme wakawa wana protect dini na dini ina protect wafalme. Ukiangalia Babeli,China, Misri, Wayahudi hadithi ni hiyo hiyo.
Mpaka George W. Bush kapigana vita ya Iraq kwa kutumia support kubwa ya the evangelicals.Alivyoanza actually aliiita "Crusade".
Kwa hiyo ukizama sana, ukisoma the canonical arguments for the existence of god.Utaona kwamba wanaosema mungu yupo hawana hoja, na wanaosema hakuna uthibitisho kwamba mungu yupo maswali yao hayajibiki.
Hata hapa JF tu maswali yangu kibao hayajibiki.
Habari za dini na mungu ziliweza kuwachota watu enzi za ujinga, za kuambiwa "fanya" ukafanya bila uchunguzi wala uthibitisho.
Hizi enzi zetu za uthibitisho na habari, mungu kaanguka.
Kwa sababu watu washasema sana kwamba radi ni sauti ya mungu anapokasirika. Wanasayansi wakachunguza wakaielewa radi kisayansi bila kuhitaji "the god hypothesis". So on and so forth.
Kila tunavyozidisha maarifa ya kisayansi, ndivyo tunavyozidi kuona hizi habari za mungu ni kamba tu.
Na hata ile argument ya kusema mungu anahitajika kama "boogey man" ili kuwa keep watu in line inakosa nguvu, kwa sababu kuna ma Buddhist huko hawaamini mungu lakini wana a higher moral standard kuliko hata wanaoamini mungu wengine.
Nashukuru kwa kupitia kile kitabu. Kwanza kabisa kile kitabu ni basic sana na cha zamani sana, version yangu ilikuwa first printed ni ya 1926.

Nijibu swali moja.
Ni lazima au si lazima kwa vyote kutengenezwa?
Nyote mnaokataa hakuna Mungu,mnaishia kusema kuna nature,
kwa hiyo lazima uelewe,unakataa kipi na unakubali kipi,
ukisema kuna nature,
je huyo nature ni nani/au nature ni nini.
Utarudi pale pale,wa uwepo wa Mungu muweza.
Na kuhusu ngurumo za radi,ni wapi umetoa maandiko kutoka vitabu vitakatifu inapoonyesha Mungu ana nguruma,na ndio radi.Hakuna hio,kutoka vitabu vitakatifu hata kimoja kinachosema hivyoc
It is not "collapse of structure thinking", it is "collapse of structured thinking".
If you want to laugh at something, gent it right at least.
Who is laughing now?
Ridiculous.
Ndio lakini kwa tabu na mateso makali.
Theory ya uumbaji hai make sense. Mimi binadamu wa kawaida mwenye madhambi kibao namuonea huruma huyu mwenzangu, iweje Mungu ambae yeye tunaambiwa ni Mungu wa upendo Mungu wa huruma hana huruma? Hizi imani za Mungu uwepo wa mtu kwenye mawingu anaeumba vilema halafu anasifiwa ni total nonsense na binadamu anazikubali hook line and sinker. Duuuh....
Nimekuelewa.
Baada ya kusoma ufafanuzi wako swali lililonijia haraka haraka kichwani kwangu ni kama maandiko ya biblia yaliandikwa na watu wa kawaida (siyo manabii wala mitume) ilikuwaje matukio kati ya vitabu vya agano la kale na agano jipya yakawa na uhusiano wa moja kwa moja na wakati tofauti ya miaka ya kuandikwa kwa hivi vitabu ni miaka mingi sana?
Na hawa manabii/mitume walikuwa hawatoki sehemu moja bali walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali.
Au inawezekana hawa watu wa zamani book/keeping yao ilikuwa nzuri kwahiyo walichokuwa wanakifanya ni kuunganisha matukio?
Mkuu unataka kutuaminisha hakuna Mungu? Huo utakuwa ni upotoshaji mkubwa sana na badilika
Not necessarily to get 100% right.it is enough for me to get even 50 as there is no award it all about adding my knowledge.whether ridiculous absurd or whatsoever
Kiranga umeshawahijiuliza mf ukiokota pesa labda noti ya sh 500/=kwamba imedondoshwa na mtu ? au unawezachukulia poa tu kwamba hii imetoka from no where?.
Umeshawahi fanya movement yoyote pasina na reason mf hata kwenda washroom, hata kugeuza shingo yako kutazama upande mwingine for no reason?.
je unawezafikilia mf the very complex universe pamoja na vilivyomo kuwa vimetokea tu by chance ? ikiwa kitu kidogo sana kama noti ya sh 500 lazima utajiuliza kwamba kuna aliyeidondosha? maswali ya namna hii umeshawhi jiuliza na ukapata majibu yake?
Umeshawahi jiuliza pia kwa nini toka umezaliwa jua linachomoza kutoka mashariki mwa dunia na kuzama magharibi mwa dunia ? je hali inatokea kwa bahati tu au kuna control ya movement hiyo?
You are content with mediocrity and you want to be taken seriously? Complete with marking people?
Get to at least 80%, read a little, learn to spell, know that "astronomist" is not a word so you don't embarrass yourself in front of everybody.
Then you can start highfalutin about theology.
Right now I am afraid I can't even discuss Anselm and Augustine, and that's just staying in the A's, for fear that you have never heard of them.