Na hii ni for the sake of argument?
Everything is for the sake of argumet to sane people, that's why sane people doubt.
Haya wewe ambae ni sane,ushahidi wako uko wapi?
I'm not only sane, I'm insanely sane. Ushahidi wangu ni kwamba hamna ushahidi, ukinionesha ushahidi utaondoa ushahidi wangu.
Utaguna sana mwaka huu.
"Realy" [sic] is not a word.Simple spelling tu issue, unataka kwenda kwenye cosmogony, theology na eschatology?
Hakuna aliyesema hivi,hii for argument sake thing mmeileta kama scape goat tu,kuanzia mwanzo wa mjadala hakukua na hii kitu
If sane people doubt, something which you brought here in your signature, then nothing is out of the bounds of argument. Every statement you make as a fact is predicated by the supposition that some axiomatic truths are actual. I am not sure you can understand that on your first read, based on your birdbrained input here.If necessary reread, or have someone to help you understand.
Judging from some of your
"post hoc ergo procter hoc" non arguments that are inherently
"non sequitur" and liberally dispensed with hardly any doubt, either you are not sane or you do not understand your own signature.
Of course it is entirely possible that you do not understand your own signature because you are not sane, hence both propositions A and B are true.
You pamoja na wenzako mmekuja hapa na kuanza kukataa uwepo wa Mungu,
Unapokataa kitu hujaanza kitu, una negate kitu kilichoanzishwa. Anayekataa hajaanzisha, anayekataliwa ndiye aliyeanzisha.
kwa tabia yenu hii kutakuwa hakuna haja ya kuwepo na mjadala,tutakuwa tunapoyeza muda na kujaza sever za JF bila maana yoyote!
Kwa tabia yako ya kukataa mjadala concept nzima ya JF itakufa, maana JF strive on mijadala, after all we are supposed to be able to talk openly here.
No. It is not "For argument sake" it is "For argument's sake". Get it right. If you cannot get the language right you make me doubt that you can get the logic right.
Nani amesema wapo au hawapo?
Nishakuambia kwamba mimi nimekuambia hivyo, wewe unaendelea ku stall nani kasema wapo au hawapo?
Mimi nimekuambia wapo, can you disprove me? Can you tell me kwamba hawapo?
Kwisha habari yako
Povu linaanza kukutoka kwa kusema uongo
Nani amesema hayo kijana?
Leta ushahidi wa mimi kusema hayo
Ukikosa unitake radhi!
CC
MaxShimba !!!!!!!!
Nisha quote hapo juu. Besides, wewe uliyeshindwa kuleta ushahidi wa kuwepo kwa mungu leo unataka ushahidi kutoka kwangu?
Nipe ushahidi wa kuwepo kwa mungu nitakupa ushahidi kutoka kwenye thread hii.
Hapa tutakesha na watu hawa wanaojiita "sane"
I told you that I am not only sane, I am insanely sane. Usinishushe.
Ondoa uMaimuna. It's not "For argument sake", it's "For argument's sake".
Huu uchafu wako kamtafute aliyesema umdai uthibitisho!!
Swadaktaaaa, kama vile ninavyotaka wanaosema mungu yupo watoe uthibitisho.
Hapo ndipo nilipotaka kulenga.Inaonekana somo unalielewa hata kama ni serendipitously tu.
Huwezi kumuuliza mtu ambaye hajasema kwamba mungu yupo atoe ushahidi kwamba mungu hayupo, kazi ya kutoa ushahidi kuhusu mungu ni ya yule anayesema mungu yupo.
Siwezi kukuuliza wewe mtu ambaye hujasema kwamba kuna ukoo wa Wachagga wenye miguu mitatu na macho matatu wanaokaa juu ya mlima Kilimanjaro unipe ushahidi kwamba hawapo, kazi ya kutoa ushahidi ni ya mtu anayesema kwamba wapo.
Niliyesema wapo ni mimi. Sasa nipe ushahidi kwamba hawapo.
This is the absurdity of your case. Wewe unasema mungu yupo, huwezi kutoa ushahidi kwamba yupo, lakini unataka wasiokubaliana na wewe ndio wawe na mzigo wa kutoa ushahidi kwamba mungu hayupo.
Hivi umeona hii kitu ni muhimu sana hapa?
Kama si muhimu kwa nini unachangia up to this 18th page? Unaelewa significance na connection hapa? Au unataka kuthibitishia umma zaidi tu kwamba huna capacity ya uchambuzi inayotakiwa kuchambua haya mambo kwa undani?
The questions about Wachagga wenye miguu mitatu na macho matatu kuwapo juu ya mlima Kilimanjaro, and the absurdity of process to disprove that, exposes the weakness of the argument that it is possible to disprove the existence of god.
If you can't disprove these Wachagga exists, primarily because however finely you sweep Kilimanjaro there is a possibility that they will have escaped you, you cannot disprove the non-existence of god for the same reason. You are arguing "ad nausea" but if you cannot concede that point I doubt you have the requisite capacity for this discussion.
Unarudia rudia bila kutuambia ni nani amesema kuhusu hawa watu kuwepo au kutokuwepo kwao,wewe vipi?
Tatizo hujui kusoma, mara ngapi nimesema kwamba ni mimi nimesema, for the sake of argument, bwa hahahaha. I know you can hardly comprehend anything nuanced.
You will thank me more by doing some basic readings and asking relevant questions, up to now unaendeleza u Maimuna tu, which is not entirely a bad thing - hey, it is not our language- lakini unapokuja na arrogance on top of u Maimuna una ji expose tu kwamba hujui kitu halafu una celebrate ignorance.