Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,926
- 4,031
Unakijua nilichokuuliza?
Huenda umesahau,hebu soma upya hapa chini!
Zingatia nilipobold!!!!
Hiki hapa:
Ndugu mbona una viroja sana?
Nimekuuliza tu ka swali kadooooooooooogo mbona unarukaruka kama morani?
Nataka nijue ni kwanini unataka kujua au huna sababu kama vile usivyokuwa na sababu ya kupinga uwepo wa Mungu?
Nimejua mwenyewe!!!!
Nanukuu kama ifuatavyo ulisema hivi
"Binafsi mimi najua kuwa
mwendawazimu ndie anaebisha au kufanya jambo bila kuwa na sababu
yoyote!"
Ulisema hayo ukirefer akina Kiranga na wengne wanaobisha.
Niliuliza ulijuaje /kivipi? Sijakuuliza ulijua na nan?
Unaona ulivyo, ndo mana mnashindwa hata kuthibitisha uwepo wa huyo mungu wenu.
cha ajabu ni kipi hapo, hebu onesha relevance ya mfano wako na mjadala uliopo.
Eiyer unapenda sana kukashifu watu mara wenda wazimu, vilaza n.k.
Haya ni maneno yako na sio yangu tafadhali ndugu!!!!!!!!!!!!
Sijataja mtu jina,wewe ndio umetaja!!!!!!!!!!!
Kwa utafiti nilioufanya!
Kwani nikoje?
Mungu gani?
Kwani wewe umeniuliza nithibitishe uwepo wake?
Halafu mbona unasema nimeshashindwa?
Jionee!!!!!!!!
Kwa utafiti nilioufanya!
Kwa hyo mimi ndo nimejinukuu siyo?
Mkuu, nimekwambia uoneshe relevance ya ule mfano wako wa Mlima Kilimanjaro na mjadala uliopo.
Ukoje, sina haja ya kukwambia ukoje, unajijua mwenyewe ulivyo.
Kuhusu kuthibitisha uwepo wa Mungu sijakuuliza mim wamekuuliza wadau wengne na umeshindwa.
Kama ulifanya utafiti kuhusu maandiko, naomba uprove hayo maandiko kwa findings zako.
Mbona mnampaga msaada kwa kujilipuagaALLAH ni muweza wa kila kitu...
Hebu fikiria
Mmekaa mnazungumza na kusema kuwa mlima kilimanjaro uko SINGIDA na mnaendelea story zenu vizuri tu,halafu anatokea mtu huko anakuja na kuwaambia kuwa huo mlima hauko SINGIDA bali uko RUKWA inabidi mkae kimya ili mumsikilize,baada ya kukaa kimya na yeye kumaliza kuongea mnamuuliza sasa wewe ushahidi wako wa kuunga mkono madai yako uko wapi?Anawajibu hana kisha anawaambia kuwa nyie ndio mthibitishe kwanza!!!!!!!!
Sasa hyu mtu ametoa wapi ujasiri wa kubisha au kukataa?
Binafsi mimi najua kuwa mwendawazimu ndie anaebisha au kufanya jambo bila kuwa na sababu yoyote!
Iweje mtu anaedai kuwa ana akili timamu na msomi afanye mambo kama ya mwendawazimu?
Sisi tumeamua kuamini Mungu yupo na hatujawahi kumlazimisha mtu yoyote aamini kama sisi,sasa nyie mnaokuja kuanza kutukatalia uwepo wa Mungu ndio inabidi mtuambie kwanini mnakataa na kwa ushahidi gani
Msitudai ushahidi kwakuwa hatujawakatalia namna mnavyoamini nyie mnaokuja hapa na kuleta vurugu kwenye thread yoyote inayomzungumzia Mungu ndio mtuambie ni kwanini mnafanya hivyo!!!!!
Unaamua kuanzisha mjadala mwingine?
Au umesahau ulichoniuliza hapa?
Wewe jamaa,
Either hujui unachokiongea mwenyewe au umeamua tu kuwa mgumu kuelewa, kwa sababu:
(a) Mjadala wa mlima ni irrelevant, hata kama tukisema ni relevant, kwa mfano wako hapo juu ni kwamba unajichanganya mwenyewe kwani kwa mfano huo wako mlima upo, tofauti ni mahali gani upo. Mjadala hapa ni kuwepo au kutokuwepo kwa mungu.
(b) Ni vizuri kwamba unakiri kwa mmeamua kuamini, so kuwepo kwake, ni kwa imani tu. Sasa wewe na wenzako mnang'ang'ania as if ni proven fact kwamba yupo.
faith
noun \ˈfāth\ : strong belief or trust in someone or something
: belief in the existence of God : strong religious feelings or beliefs
: a system of religious beliefs
Chanzo: Faith - Definition and More from the Free Merriam-Webster Dictionary
(c) Either huijui au hujasoma vizuri historia ya kusambaa kwa dini zenu, Uislam na Ukristo. Hujui kwamba wahispania waliuwachinja kwa maelfu wahindi wekundu wakiwalazimisha wamkiri Yesu au waislamu walivyoeneza dini yao kwa upanga, au mambo ya inqusition during the Middle Ages (Inquisition - Wikipedia, the free encyclopedia).
Mkuu, rejea swali langu, mim nilikwambia uoneshe relevance ya mfano wako. Wewe ndo umesahau ulichoulizwa.
nakuomba urejee swali langu tafadhali,
Nani alieanza kukanusha?