Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

viwango vipi mkuu..toa mfano?

weledi upi mkuu? toa mfano
Katika manispaa ya kigoma tumeanzisha mchakato wa bima ya afya kwa kila mwananchi......Pia watoto watasoma bure mpaka kidato cha sita kwa kutumia vyanzo mbadala
 
Katibu hajulikani ila ni lazima atoke kaskazini.

Katibu mkuu wa chadema hawezi kutoka sehemu yoyote zaidi ya kaskazini.
Kwanini Makamu wa Rais lazima atoke Znz? sio upendeleo huo? kwanini Rais anatoka Bara kila wakati....sio upendeleo huo?

Mambo ya ukanda na ukabila na dini yamepitwa na wakati....kwahiyo wewe umepitwa na wakati bila shaka.
 
Katika manispaa ya kigoma tumeanzisha mchakato wa bima ya afya kwa kila mwananchi......Pia watoto watasoma bure mpaka kidato cha sita kwa kutumia vyanzo mbadala

Bima ya Afya iko Open kwa kila Mwananchi..Nchi nzima...Nothing special with Kigoma

Primary hadi Form Four Elimu ni Bure .....

Hio Ya Five to six kwa shule za high level mbili za mkoa wa Kigoma is non issue...Mbunge Godbless Lema Peke yake anasomesha wanafunzi 300 shule mbalimbali O level na A level.....So kwa ACT that's nothing that kutafuta Kiki
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh, mnapaa na mbunge mmoja kama taa ya treni?

Una maneno weye. Mbunge mmoja kama taa ya treni? Eti chama kinapaa! Majuha wengine kama akina mcubic ni wa kuhurumiwa tu.
 
sasa heshima imerudi chadema kwa sasa macho na masikio ni MWANZA MWANZA MBOWE ndio tumekukabidhi roho zetu wewe ndio umebeba roho ya chama ukibugi tu.
tumekwisha mungu akusaidie kaka MBOWE!!
 
Una maneno weye. Mbunge mmoja kama taa ya treni? Eti chama kinapaa! Majuha wengine kama akina mcubic ni wa kuhurumiwa tu.
Zitto ni sawa na wabunge wote, ana hoja makini na chanya.....yumkini katika bunge lililopita aliongoza katika kutoa hoja na kuilazimisha serikali kujipanga upya.......taa ya treni ni moja lakini inaangaza pori lote.....

Hapo utaelewa kati yangu mie na wewe nyumbu nani ni Juha
 
Bonge la juha..mcubic.
 
Back
Top Bottom