kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,080
Ukiona hivyo haina mvuto
ANAFAA SANA..!!!!Tundu Lisu ndie atakuwa katibu Mkuu Chadema
Wewe ni punguani wa MboweHa ha haaa. Juha ni juha tu.
Wewe ni punguani wa Mbowe
Mbona unampa promo kubwa hivyo? Yaani unaongea na mtu wa Mirembe hapoBila kumtaja mbunge wa Hai, hujaenda bado chooni we juha.
mawazo ya kijinga. chama kimeua ajenda ya ufisadi hamsemi. mmebungaa tuu kama mazuzu. mnashughulikia vitu vidogo doogoNakubaliana na wewe
Lakini Pia U double Agent wa slaa inaonekana ni wa muda mrefu
Siri za CHADEMA zilikuwa zinatoka sana
Jinsi Slaa alivyoondoka ni evidence tosha ya U double agent.......Zito alichezewa faulu makusudi ili slaa asishtukiwe
Without Slaa ,sasa CHADEMA inaweza kukua haswa......
akili za mafuta ya taa hizi..Katibu hajulikani ila ni lazima atoke kaskazini.
Katibu mkuu wa chadema hawezi kutoka sehemu yoyote zaidi ya kaskazini.
utumwa wa fikraHahahahahah! Kujifariji ni njia bora sana ya kutoa Huzuni na Simanzi.
kwani kingunge ni njomba?????Labda kingunge anawafaa ilia akijenge chama kusini
acha matusi wewe kibaraka wa kibaraka wa ccm.....wewe kibaraka na boss wako zitto nae kibarakaWewe ni punguani wa Mbowe
Na Yule aliyefunga ndoa juzijuzi ugenini yeye hakuwa Na tabia yakuvujisha???Alikuwa Chombo Tumwa = ACT
Ni Nani?? Heche....??Mbona katibu mkuu chadema keshajulikana. Atatoka kanda ya ziwa kwa taarifa yenu.
Mkuu kumbe nawe ni kulekule? Utawatambua kwa matamshi yao, "jina la mteule HALIJAFUJA"Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote. Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio. Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.
Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je, yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.
Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni. Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
Mbowe hawezi kumpa ukatibu Tundu Lissu. Na mkitaka CHADEMA iwe vipande mpeni Tundu Ukatibu MkuuTundu Lisu ndie atakuwa katibu Mkuu Chadema