Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

Katibu hajulikani ila ni lazima atoke kaskazini.

Katibu mkuu wa chadema hawezi kutoka sehemu yoyote zaidi ya kaskazini.
Kaskazini ya wapi? Maana hata Lindi ni kaskazini ya Mtwara
 
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
Ha! Ha! Haaaa!!!!
 
Mchakato unaendelea katika nidhamu na kuaminiana kwa kiwango cha juu sana
 
Sasa hivi ana chama chake, na vibwetere wake wametawanyika kwenye vyama mbalimbali, chadema imebaki salama kama SAFINA YA NUHU wateule tu ndio wanaosafiri na chombo hiki.
 
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
kamanda katibu mkuu mbona anajulikana. si bwana Sumaye kwani ni siri. wala haina haja yakuficha ficha
 
Kama sio siri mbona wewe ndio wa kwanza tunakusikia? Au uneoteshwa kama Babu wa Loliondo?
 
sasa ana wakati MGUMU sana kwani TISS na ccm hawana tena sababu ya kumlipa kwani 'HALIPI' Ndio mshahara wa USALITI ulivyo, Mkumbukeni YUDA ISKARIOTI.
 
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
Alitupwa pamoja na malaika zake
 
Sasa mkuu mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe, sio kwamba mtoa taarifa amefariki La hasha ila suala lililopo ni kuwa hilo jina la Katibu Mkuu wa Chama analoijua Mbowe tu kwa hiyo nafikiri hata mkewe halijui na hata hakuna kamanda yeyote anayelijua mpaka sasa hivi. We ngoja tusubiri mzee wa kubadili gia angani atakavyomteua Katibu wake.
 
Mchakato unaendelea katika nidhamu na kuaminiana kwa kiwango cha juu sana
Mkuu unataka kunambia kuwa baada ya kuwaondoa magugu maji sasa ziwa lipo salama salimini?teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh, watu mna maneno!
 
Back
Top Bottom