OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,684
- 120,384
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote. Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio. Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.
Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je, yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.
Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni. Yule aliyekuwa anaripoti CCM.