mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Naona mnajitahidi kuondoa harufu ya kinyesi iliyosemwa na Dr SlaaHii kweli inadhihirisha kuwa "marehemu" alikuwa hafai na huko aliko watambue tabia haina dawa.
cc MOTOCHINI, mkuu peleka salamu kuwa sasa imedhibitishwa kuwa dari au kuta sio zilizokuwa zinatoa siri ya chumbani bali ni "marehemu"