Mvua neema

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Ndugu wanajf huku arusha mjini wiki hii yote imekuwa ya neema mvua inanyesha sana na hata udongo umeanza kukubali maji.

Hebu wana jf tupeane habari za hali ya hewa kutoka mkoani kwako maana mvua ndio uhai wetu na maendeleo yetu. Bila mvua imeedhihirika tutakufa njaa maana umwagiliaji ziro, hakuna umeme zaidi ni akina dowans, Richmondi na Symbion ambao ni utapeli mtupu!
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
1,334
Kama huko kuna mvua basi Ngeleja atawapunguzieni adhabu ya kukupeni Giza, subirini zawadi kutoka kwa Ngeleja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom