TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,502
- 11,248
huwa sielewi...connection ya mvua na foleni dar!
mkuu kuna njia za vichochoro huwa tunapita kuepuka foleni, sasa pale mvua inaponyesha mtu unalazimika kupita barabarani ili kuepuka kukwama vichochoroni, hence foleni inaongezeka..
Kwa mfano, watu wa kimara na mbezi kuepuka foleni ya ubungo kuna shortcut ambayo unatokezea UD, sasa mvua ikinyesha na ukapima uwezo wa gari yako unaamua kubaki main road..