Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Kuna kitu kinaitwa combustion! Halafu kuna combustion chambers!
Piston rings kwenye engine zikilegea engine itapiga kelele na kukosa nguvu .. Kwa maana ya kwamba combustion haitafanya kazi vizuri.. Lakini pia engine kukosa nguvu na kupiga kelele huchangiwa na mengi ikiwemo oil seal, oil pungugu,oil feki Mk
Engine isiyo na nguvu hukosa mwendo madhubuti na kwenye changamoto kidogo tu ya mlima gari haipandi
Engine msaidizi wake ni gearbox.. Nayo ikipata changamoto za uchafu kwenye chujio ama uchache wa hydraulic au hydraulic feki gari litaleta shida
Shida ya gearbox itajulikana kwenye mwendo.. Shida ya engine itajulikana ukiwasha gari
Hivi viwili ni lila na fila! Haviachani na hufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa.. Engine akishawaka anamsukumia gearbox ahangaike na mwendo
Vingine ni kama mafuta, battery, break nknk.. Kina vya lazima na kuna vya muhimu na kuna vya ziada! Vyote huvifanya gari liwe bora na madhubuti
Kwa hali ilivyo sasa
Engine ina shida
Gearbox Ina shida
Battery ni la Ku boost
Oil ni kidogo haitoshi halafu ni bandia
Hydraulic vilevile kama oil tuu
Taa zina shida
Tairi ni vipara na hazina upepo wa kutosha!
Dereva learner lakini ana leseni class A.. Kaghushi mpaka matokeo ya mtihani tena baada ya kufeli na ku resit!
Ambulance inaumwa.. Inapelekwa chumba cha mahututi .. Wanasema bovu linavutwa na gari zima.. Sasa mbona haya yetu yote mabovu? Tena mabovu kweli kweli😂😂😂