Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu
Cc mshana jr faizafoxy
Sent using Jamii Forums mobile app