Mvua iliyoanza kunyesha leo baadhi ya maeneo hapa nchini baada ya maombi ya watu wa dini fulani siku ya Ijumaa ni coincidence au Mungu kajibu maombi?

Mungu alishamaliza kazi yake. Na alipumzika kabisa. Nyie mnaharibu mazingira, mnakata miti hovyo kwa kisingizio cha kuchoma mkaa, mnaharibu mioto ya asili afu mvua ikiacha kunyesha mnaanza kumsingizia Mungu.

Kwa taarifa tu. Mungu haangaiki na wenye dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nyingine ukizifikiria unaishia kucheka tuu. Unaombea mvua kipindi cha masika? Nenda kaombee huko nambia desert na kalahari mvua zinyeshe watu wapate ardhi walime. Hata vita vya kugombea ardhi vitapungua.
 
How many times mvua imekuwa ikinyesha na mara ngapi wamekuwa wakifanya maombi hayo??..... waombe kipindi cha kiangazi na si kipindi cha masika.... masika hata ya siku mbili 2, 3 itanyesha tu.

Unadhani wale waarab wa middle east hawapendi mvua???.... au unadhani ndugu zetu wa misitu ya Congo wanamuomba Mungu sana????.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yanafuata kama kuna issue abnormal kwa nature. Hakuna aliyesema itaombwa mvua kiangazi wakati inafahamika siyo msimu wa mvua wala kuomba Dodoma iwe na bahari wala jangwa la Sahara au Kalahari kuwe na misitu kama ya Kongo ama Amazon. Maombi ya namna isiyoakisi hali halisi hayana maana. Kwa upande wa maombi yaliyoombwa na wazee wetu wa Dar,yaliakisi ukweli kwamba mwezi March na April ni kipindi cha mvua lakini kuna viashiria vya upungufu wa mvua au kuchelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna adabu za kuomba dua,miongoni mwa adabu za kuomba dua,ni kuomba dua kwa yale mambo ambayo yanawezekana ki ada yaani kwa kawaida. Mfano,leo hii huwezi kuomba dua uwe mtume wakati utume umesha koma,au uombe dua usife wakati kifo kimeshapitishwa kwa waja wote.

Pia,lazima tuombe dua kipindi cha haja na kuomba dua ili neema zisikuondokee. Kiangazi ni nyakati na ina hekima yake ya kuwepo kiangazi ili mambo mengine yaende,na Masika ni nyakati yenye kuhitajika ili mambo mengine yaende ndio maana masika yanapochelewa kulingana na hitajio lake,waja wana haha,na hakuna awezae kuleta mvua au kuzuia mvua isipokuwa Mola mlezi.

Nipo .....
Kubali tu mashehe wako wa bakwata wanazingua.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ni msimu wa mvua lakini imekaa sana haikunyesha .
Pia maombi yalilenga mvua yenye kheri isiyo na maafa.
Acheni kuingilia kazi ya MUNGU
Hao ndugu zako pia wanaingilia hiyo unayodai ni kazi Mungu.... kwahiyo mnataka kutuaminisha kwamba huyo Mungu kakaa kuwasubiri muombe ndio aruhusu mvua zinyeshe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maombi yanafuata kama kuna issue abnormal kwa nature. Hakuna aliyesema itaombwa mvua kiangazi wakati inafahamika siyo msimu wa mvua wala kuomba Dodoma iwe na bahari wala jangwa la Sahara au Kalahari kuwe na misitu kama ya Kongo ama Amazon. Maombi ya namna isiyoakisi hali halisi hayana maana. Kwa upande wa maombi yaliyoombwa na wazee wetu wa Dar,yaliakisi ukweli kwamba mwezi March na April ni kipindi cha mvua lakini kuna viashiria vya upungufu wa mvua au kuchelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujaniconvince....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo ambayo naishi imenyesha muda wa masaa mawili tena ni mvua heavy, je inamana Mungu kajibu maombi ya viumbe wake?

Karibuni tujadili kwa hoja na ustaarabu

Cc mshana jr faizafoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi huleta uhalisia hata kama kitu husika hakikuwepo wala kuwezekana.. Kuna nguvu fulani huvuta muktadha wa jambo fulani liwezekane japo si kwa eneo kubwa

Jr
 
Hao ndugu zako pia wanaingilia hiyo unayodai ni kazi Mungu.... kwahiyo mnataka kutuaminisha kwamba huyo Mungu kakaa kuwasubiri muombe ndio aruhusu mvua zinyeshe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia imekaa sana haikunyesha.
MUNGU wakati mwingine huwapa waja mitihani au adhabu au ni kawaida tu .
Maasi ni mengi nk.
MUNGU anasema niombeni nikupeni sasa wameona imekaa muda mrefu haijanyesha licha ya kuwa ni msimu wa mvua wameamua kumuomba mungu tatizo lipo wapi ??Na wameomba pia iwe ya kheri sio ya maafa .
 
Mungu alisema lini aombwe na atatoa????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna adabu za kuomba dua,miongoni mwa adabu za kuomba dua,ni kuomba dua kwa yale mambo ambayo yanawezekana ki ada yaani kwa kawaida. Mfano,leo hii huwezi kuomba dua uwe mtume wakati utume umesha koma,au uombe dua usife wakati kifo kimeshapitishwa kwa waja wote.

Pia,lazima tuombe dua kipindi cha haja na kuomba dua ili neema zisikuondokee. Kiangazi ni nyakati na ina hekima yake ya kuwepo kiangazi ili mambo mengine yaende,na Masika ni nyakati yenye kuhitajika ili mambo mengine yaende ndio maana masika yanapochelewa kulingana na hitajio lake,waja wana haha,na hakuna awezae kuleta mvua au kuzuia mvua isipokuwa Mola mlezi.

Nipo .....
We jamaa unahekima, ama kweli nimeamini hekma haijifichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mvua ikinyesha dar mnahisi nchi nzima ilikua kame? Mbeya kulikua na mafuriko tele,kanda ya ziwa mvua za kutosha.

Kwa akili za mtoa mada ni sahihi kwa manabii kuibuka na kujizolea pesa za kutosha
Maombi yalifanywa kwaajili ya Dar,kuna la kujifunza hapa.
 
Mkuu masika hii unaombea mvua wakati utabiri unasema mvua zitanyesha tarehe kama hizi aiseeee akili za baadhi ya watanzania zina matatizo
Maombi yalifanywa kwaajili ya Dar,kuna la kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom