Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

namna hiyo. ulichoandika nimekiandika kwa sentensi moja post #16.
na zaidi mleta mada ameakisi hii modern hip hop ambayo ni takataka inayozidi kuharibu akili hata kidogo aliyonayo mtu mweusi na kuzidi kuwa manyanya masalo.
Kitu ambacho akijui ni kua hadi Leo kuna mainstream artist na underground artist , wale underground still wanafata bado misingi ya hip hop na wapo wengi tu kwahiyo ni hiari yako kuchagua umusikiliza nani

Halafu kitu cha kufikirisha eti anasema watu waache kusikiliza hip hop eti kisa watapotea, sasa swali la kujiuliza vipi hawa bongo fleva wanaoimba matusi kila wimbo wao ndio tuwasikilize
 
Hio ni mianya ya kujitetea tu (victim Mentality)

Kilichotokea ni kwamba wamarekani weusi wao wenyewe waliupa demand mziki wa kihuni, bila demand kungekuwa kuna wasanii wachache sana wanaoimba huu uhuni.
 
Ndio miziki ambayo ilibidi itolewe tena na tena na tena lakini ni Nas huyo huyo kaimba mziki maarufu kuzidi huo unaohimiza kununua bunduki ukiwa kitaa ama una bifu - Got yourself a Gun
 
In short nikwambie tu hujui kitu chochote kuhusu hip hop, hao wasanii unaowataja hata sio hip hop

Lakini aulazimishwi kusikiliza miziki yao unaweza kuendelea kusikiliza chapati ya zuchu nao ni mziki na ujumbe mzuri tu
 
In short nikwambie tu hujui kitu chochote kuhusu hip hop, hao wasanii unaowataja hata sio hip hop

Lakini aulazimishwi kusikiliza miziki yao unaweza kuendelea kusikiliza chapati ya zuchu nao ni mziki na ujumbe mzuri tu
Ok tuseme basi hata kina Nas, Wimbo wake maarufu kama Got yourself a gun una message ya kuhamasisha kununua bomba, what is the point of having a gun mtaani ama ukiwa na beef ?
 
Ok tuseme basi hata kina Nas, Wimbo wake maarufu kama Got yourself a gun una message ya kuhamasisha kununua bomba, what is the point of having a gun ?
Sikiliza nyimbo nzima na uilewe wakati mwingine unaweza kushika mstari mmoja na kukomalia hapohapo uku ukiutafasiri unavyojua wewe, lakini pia unatakiwa ujue mziki ni sanaa wakati mwingine wasanii wanatumia uandishi wa kisanaa zaidi na unweza usiwaelewe kama utokua makini
 
View attachment 2945499
Ngavu chalii yangu kula chuma kwanza
Lil wayne mharibifu sana.

Hii ni kazi yake kwenye Pop Dat ft Frenc Montana

Bitch! Stop talkin' that shit
And suck a nigga dick for some Trukfit
Okay I https://jamii.app/JFUserGuide a bitch and I'm gone
That’s gangsta: Al Capone
I make that pussy spit like Bone
I'm talkin' 'bout bone, bone, bone bone
 
Ndio miziki ambayo ilibidi itolewe tena na tena na tena lakini ni Nas huyo huyo kaimba mziki maarufu kuzidi huo unaohimiza kununua bunduki ukiwa kitaa ama una bifu - Got yourself a Gun
Mkuu huo wimbo umeuelewa lkn? Au umebeba heading tu? Hakuna ujumbe wa hovyo humo ndani na una tafsida kubwa sana tena isiyojificha.

Tafadhali soma lyrics zake.
 
Ni kweli usemacho ila exception hazikosekani. Binafsi namkubali sana J. Cole yaani uniambii kitu.

Cha msingi vijana nyumbani ni kuwaonyesha mfano wa kufuata kabla ya kuwakataza cha kufanya.
 
Umeutafsiri wimbo kulingana mazingira ya kiafrika
Mkuu huo wimbo umeuelewa lkn? Au umebeba heading tu? Hakuna ujumbe wa hovyo humo ndani na una tafsida kubwa sana tena isiyojificha.

Tafadhali soma lyrics zake.
Ni kweli verse zipo nondo lakini what about the Chorus ?

I got mine, I hope you got yourself a gun
(Ninayo yangu, Natumaini na wewe unayo yako)
You from the hood, I hope you got yourself a gun
(ukiwa mtaani hakikisha uwe na bunduki)
You want beef? Hope you got yourself a gun
(Ukitaka bifu hakikisha una bunduki)
And when I see you, I'ma take what I want,
(Nikikuona ntachukua nachokitaka )
so You tried to front, hope you got yourself a gun
(ukitaka kunizuia hakikisha una bunduki)
You ain't real, hope you got yourself a gun, yo
(Ukinisnich / ukinisaliti hakikisha una bunduki)
 
Huyu ni Ricky Rozay

I love my big booty bitches, my life a Godfather picture
Local club in my city, I fell in love with a stripper
Bitches know I'm that nigga, talkin' four-door Bugatti
I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
Kuna tofauti ya hip hop before 2000s na sasa. Moja ni matusi matupu wakati nyingine ilikuwa harakati za kijamii
 
Ndio miziki ambayo ilibidi itolewe tena na tena na tena lakini ni Nas huyo huyo kaimba mziki maarufu kuzidi huo unaohimiza kununua bunduki ukiwa kitaa ama una bifu - Got yourself a Gun
Hilo Dude wasikilizaji wachache..wengi tunapenda faka faka...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naona members mnabishana sana kuhusu Hiphop. Inapendeza. Kimsingi dunia nzima kwa sasa hakuna muziki wenye afadhali. Yote imeshaharibiwa. Hii bongo fleva yetu mwanzoni walikuwa wakiimba vitu vyenye akili ila siku hizi ni ushuzi mtupu. Injili ya kina Rose Muhando iliyovuma na yenyewe kwa sasa ina hadi msanii aliyeimba "Yesu ninyandue"... yaani ni balaa. Huko DRC na kwenyewe wameshaanza kulalamika ile original Rhumba inatoweka. Wasanii wanaimba vitu vya hovyo.

Hiphop nayo kama muziki namba moja ninaoupenda imeshapoteza sana mwelekeo. Nyimbo za busara kama STAY DOWN ya Flash feat Akon kwa sasa hakuna. Hiphop ya nyakati hizi ni ushuzi. Mimi ninadhani kwa sasa kila mtu awe karibu na mwanae kwasababu hakuna muziki utakaomwacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…