DC
Wenyewe wanakwambia "wanapenda kikweli" kama huyu
Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
Fikira sitogeuza, moyo wangu madhubuti
Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli, hata ukimchukia
* Wivu ni kidonda sijaipata youtube @-@
ANAEPENDA KIKWELI ~~~ zanzibar taarab - YouTube
Endeleeni kutuwekea majisongi bana...
AT akimshirikisha Nyota Ndogo - Mpishi
Penda sana mimi huyu mdada!
Unatuletea chakacha/mduara kwenye muziki wa taarab....maa khussat?! lolz
Hawa wanataka thread yao pekee
Taarab/chakacha/ na mduara ni sawa tu na hip hop/ r n' b.
DC
Wenyewe wanakwambia "wanapenda kikweli" kama huyu
Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
Fikira sitogeuza, moyo wangu madhubuti
Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki
Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli, hata ukimchukia
* Wivu ni kidonda sijaipata youtube @-@
ANAEPENDA KIKWELI ~~~ zanzibar taarab - YouTube
Nyingine zilipendwa hii hapa
Shakila ananikosha na hii-Kifo cha Mahaba
Kifo cha mahaba, kina idhilali
Hakina haiba, wala afadhali
Bali tajikaba, nifilie mbali
KIFO CHA MAHABA [HD] - YouTube
Kuna taarab fulani siujui jina, zipo kama mbili hivi,
moja inahusiana na mdada mmoja anamchimba mkwara mwenzake aachane na mme wake, kila ukimuona shemeji yako huchelewi kujipitisha............... nitakuadabisha- unaitwaje huu wimbo??
wa pili ni wa Aisha Mashauzi, kuna sehemu fulani ya huo wimbo alikuwa anaimba alafu analazimisha sauti fulani hivi ya bezi, mistari siikumbuki, aujuae huu wimbo pia anijuze!!
kuna taarab fulani siujui jina, zipo kama mbili hivi,
moja inahusiana na mdada mmoja anamchimba mkwara mwenzake aachane na mme wake, kila ukimuona shemeji yako huchelewi kujipitisha............... Nitakuadabisha- unaitwaje huu wimbo??
Wa pili ni wa aisha mashauzi, kuna sehemu fulani ya huo wimbo alikuwa anaimba alafu analazimisha sauti fulani hivi ya bezi, mistari siikumbuki, aujuae huu wimbo pia anijuze!!