Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Msalimie mdogo wakoKiasi chake mkuu!
Msalimie mdogo wakoKiasi chake mkuu!
Ataitika mkuu...Msalimie mdogo wako
Nimewakimbia wapii[emoji2]??Ataitika mkuu...
Umetukimbia
KuleeeeNimewakimbia wapii[emoji2]??
Aiseee DadaKwani hujui heshima ya kule ukweni ni kusimamisha ghorofa, huku kwingine ongeza mchele, wali ukibaki utakula kiporo.
Takuja summerKuleeee
Sawa dada, navumilia mimiMengine ni siri ya ndani mdogo wangu.
MmmhTakuja summer
Siku kuu njemaaMmmh
Jamani
Na kwako pia jamaniiiSiku kuu njemaa
[emoji1545][emoji1545]Na kwako pia jamaniii
AUNT,Kwani hujui heshima ya kule ukweni ni kusimamisha ghorofa, huku kwingine ongeza mchele, wali ukibaki utakula kiporo.
AUNT,
Nimekula restaurant leo, baba chanja yuko kazini kwahiyo Easter yetu itakuwa kesho.
Guest lazima zimejaa hii ni guaranteeNaona kabisa watu wana vyo jichana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadau leo ni kula kuku kwa sana na bia .
Msisahau kupima, ukishindwa Condom zipo. Msisahau kabisa baadae mnakuja wadau nawashwa busha zimevimba au nimejikuta nimeparamia mdada mzuri nikasahau kutumia kinga halafu mnatusumbua sisi.
Kuweni makini.
Guest lazima zimejaa hii ni guarantee