Muwe makini kuna uwezekano Tundu Lissu kapandikizwa RFID microchip na wazungu kwenye mwili wake

Habari za muda huu wanaJamiiForums wote, poleni na pilika pilika za maisha.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kwanza, sina uzoefu sana na siasa za Bongo lakini nimeona leo Tundu Lissu kapokelewa kutoka kwa wazungu huko Belgium.

Hapa kuna suala moja ambalo inatakiwa kuwa makini nalo na nimeona nije nacho hapa kwa great thinker ambalo lazima liangaliwe na jicho la Tatu...
Subiri UVCCM watainyofoa siku si nyingi
 
Huu utakuwa ni udukuzi unao hatarisha usalama wa nchi. Sheria itungwe haraka kama haiko, tena kwa hati ya dharura.
 
Ccm Kwa moto tutaona kila aina ya thread.. Hata Kama anacho si ndio vizuri kwa Usalama wake... Kwani mnateseka?
 
Mleta mada naamini hujasogea zaidi ya kidato cha pili. Hoja kama hii inaletwa na watu kama hao.
 
Habari za muda huu wanaJamiiForums wote, poleni na pilika pilika za maisha.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kwanza, sina uzoefu sana na siasa za Tanzania lakini nimeona leo Tundu Lissu kapokelewa kutoka kwa wazungu huko Belgium.

Hapa kuna suala moja ambalo inatakiwa kuwa makini nalo na nimeona nije nacho hapa kwa great thinker ambalo lazima liangaliwe na jicho la Tatu.

Kuna kifaa kinaitwa RFID transponder. Kifaa hicho kinachopandikizwa, kinakuwa na namna za utambulisho ambazo zinaweza kusomwa na vifaa vya kidijitali vinavyotumia teknolojia ya ‘Bar Code’ na huwa kimeunganishwa kwenye database yenye taarifa zote muhimu kuhusu mtu husika.

Ili kufanya kazi kwa ufanisi kifaa hiki huunganishwa na mfumo wa GPS (Global Positioning System)

Kwa kila litakaloendelea nchini basi taarifa zote zitakuwa zinawafikia wahusika, kama amepatwa na matatizo ya kiusalama, kama kutekwa au kupotea, pilikapilika zote zitakazofanyika nchini basi taarifa zitaonekana kwenye vyombo husika mara moja.

Angalizo: kwa wote watakaokuwa karibu nae wawe makini sana wale wazungu waliokaa nae takribani miaka mitatu kuna uwezekano wanajambo lao watakuwa wamepandikiza.

View attachment 1518896
as long as kitasaidia kumng'oa madarakani mkoloni mweusi... poa tu!
 
Aaaa hapo kweli huyu jamaaaa wakukaaa naye mbali Kama ukoma hvo hata hafai kuingia wala kukaa ikulu.
 
Back
Top Bottom