Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,042
Unaikumbuka hii ngoma mkuu?. Wa miaka ya 90,2000 hapo hawakuelewiBuyaka buyaka..... Ting a Ling, Shabba Ranks

Huyu ni mkazi wa Dar na si mwenye mkoa wa DarMwambie ndugu Bashite, mwenye mkoa wake wa DSM.
Hahaa dahh nimecheka sanaBuyaka buyaka..... Ting a Ling, Shabba Ranks
Kama sio sio mtoa hoja mahiri kwanini hukuitoa wewe??...acha wivu wa kimama basii...Basi unajiona na wewe ni mtoa hoja mahiri
Hahaha mtoa mada labda anamaono tofautikwani jamaa zako wana mipango ya kumteka??
Bashite ni raia Kama wewe,haruhusiwi kusogelea hata hightableMwambie ndugu Bashite, mwenye mkoa wake wa DSM.
Well saidHabari za muda huu wanaJamiiForums wote, poleni na pilika pilika za maisha.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwanza, sina uzoefu sana na siasa za Tanzania lakini nimeona leo Tundu Lissu kapokelewa kutoka kwa wazungu huko Belgium.
Hapa kuna suala moja ambalo inatakiwa kuwa makini nalo na nimeona nije nacho hapa kwa great thinker ambalo lazima liangaliwe na jicho la Tatu.
Kuna kifaa kinaitwa RFID transponder. Kifaa hicho kinachopandikizwa, kinakuwa na namna za utambulisho ambazo zinaweza kusomwa na vifaa vya kidijitali vinavyotumia teknolojia ya ‘Bar Code’ na huwa kimeunganishwa kwenye database yenye taarifa zote muhimu kuhusu mtu husika.
Ili kufanya kazi kwa ufanisi kifaa hiki huunganishwa na mfumo wa GPS (Global Positioning System)
Kwa kila litakaloendelea nchini basi taarifa zote zitakuwa zinawafikia wahusika, kama amepatwa na matatizo ya kiusalama, kama kutekwa au kupotea, pilikapilika zote zitakazofanyika nchini basi taarifa zitaonekana kwenye vyombo husika mara moja.
Angalizo: kwa wote watakaokuwa karibu nae wawe makini sana wale wazungu waliokaa nae takribani miaka mitatu kuna uwezekano wanajambo lao watakuwa wamepandikiza.
View attachment 1518896
Kwahiyo watu waache maendeleo waangaike na kutekana?Habari za muda huu wanaJamiiForums wote, poleni na pilika pilika za maisha.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwanza, sina uzoefu sana na siasa za Tanzania lakini nimeona leo Tundu Lissu kapokelewa kutoka kwa wazungu huko Belgium.
Hapa kuna suala moja ambalo inatakiwa kuwa makini nalo na nimeona nije nacho hapa kwa great thinker ambalo lazima liangaliwe na jicho la Tatu.
Kuna kifaa kinaitwa RFID transponder. Kifaa hicho kinachopandikizwa, kinakuwa na namna za utambulisho ambazo zinaweza kusomwa na vifaa vya kidijitali vinavyotumia teknolojia ya ‘Bar Code’ na huwa kimeunganishwa kwenye database yenye taarifa zote muhimu kuhusu mtu husika.
Ili kufanya kazi kwa ufanisi kifaa hiki huunganishwa na mfumo wa GPS (Global Positioning System)
Kwa kila litakaloendelea nchini basi taarifa zote zitakuwa zinawafikia wahusika, kama amepatwa na matatizo ya kiusalama, kama kutekwa au kupotea, pilikapilika zote zitakazofanyika nchini basi taarifa zitaonekana kwenye vyombo husika mara moja.
Angalizo: kwa wote watakaokuwa karibu nae wawe makini sana wale wazungu waliokaa nae takribani miaka mitatu kuna uwezekano wanajambo lao watakuwa wamepandikiza.
View attachment 1518896
Kwa hiyo kijijini kwao huko amevimba kichwa saa hizi.Hii hoja utakua umewahadithia watu kijijini kwenu basi wanakuona bonge la msomi