Muwe makini kuna uwezekano Tundu Lissu kapandikizwa RFID microchip na wazungu kwenye mwili wake

hannibali

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
468
427
Habari za muda huu wanaJamiiForums wote, poleni na pilika pilika za maisha.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kwanza, sina uzoefu sana na siasa za Tanzania lakini nimeona leo Tundu Lissu kapokelewa kutoka kwa wazungu huko Belgium.

Hapa kuna suala moja ambalo inatakiwa kuwa makini nalo na nimeona nije nacho hapa kwa great thinker ambalo lazima liangaliwe na jicho la Tatu.

Kuna kifaa kinaitwa RFID transponder. Kifaa hicho kinachopandikizwa, kinakuwa na namna za utambulisho ambazo zinaweza kusomwa na vifaa vya kidijitali vinavyotumia teknolojia ya ‘Bar Code’ na huwa kimeunganishwa kwenye database yenye taarifa zote muhimu kuhusu mtu husika.

Ili kufanya kazi kwa ufanisi kifaa hiki huunganishwa na mfumo wa GPS (Global Positioning System)

Kwa kila litakaloendelea nchini basi taarifa zote zitakuwa zinawafikia wahusika, kama amepatwa na matatizo ya kiusalama, kama kutekwa au kupotea, pilikapilika zote zitakazofanyika nchini basi taarifa zitaonekana kwenye vyombo husika mara moja.

Angalizo: kwa wote watakaokuwa karibu nae wawe makini sana wale wazungu waliokaa nae takribani miaka mitatu kuna uwezekano wanajambo lao watakuwa wamepandikiza.

IMG_20200727_205423.jpeg
 
CCM wanateseka sana.
Lumumba hapakaliki.

Mjiandae maana kesho Fundi anatinga uwanja wa taifa na tsunami.
 
Back
Top Bottom