Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,884
- 54,128
Wanazalisha 27% zaidi halafu wamezima mitambo?It sounds weird!
Kumbe wewe Ni empty kbsKweli we ni kichaa kabisa.mvua zote za bukoba mwaka mzima eti kuwe na shida ya maji? Hivi tz kunasehemu inayopata mvua kama Bukoba? Hivi unajua bukoba kuna maziwa kibao mfano ikimba huko Bukoba vijijini,burigi na lile la kule karagwe na bado hujagusa ziwa Victoria.
Mamlaka ya maji bukoba inaitwa buwasa hebu ifuatilie na miradi yake sio kuongelea upupu hapa ndo maana Meno yako yameoza
Sent using Jamii Forums mobile app

Meno yetu hayajaozaWe ni kichaa kabisa naongelea Meno yako kuoza we unanipostia hao mademu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Meno yetu hayajaoza,Ni meno ya dhahabuWe ni kichaa kabisa naongelea Meno yako kuoza we unanipostia hao mademu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unataka wale viongozi wa upande wa pili wafanye mpango mabomba yakatwe usiku.Matunda ya chadema
Nshamba ni moja ya maeneo maarufu yanayozalisha ndizi bukoba Kwa Sana Nshamba gani isiyo na migombaKumbe wewe Ni empty kbs
navyosema uhayan simaanishi bukoba tu namaanisha n'a muleba,misenyi je muleba sio kwa wahaya? Nenda nshamba uulize dumu la maji ni sh ngapi,kule kimwani, nyakabango,ngenge etc pia kukame kabisa je sio uhayan? Ficha ujinga wako mkuuView attachment 1074878
Siku hizi hayaozeshi meno Kama zamani?halafu maji ya moshi matamu sana
haipo tena hio sasa meno whiteSiku hizi hayaozeshi meno Kama zamani?