MUWASA wafanya maajabu, wazungu watua Moshi kuja kushangaa

Kweli we ni kichaa kabisa.mvua zote za bukoba mwaka mzima eti kuwe na shida ya maji? Hivi tz kunasehemu inayopata mvua kama Bukoba? Hivi unajua bukoba kuna maziwa kibao mfano ikimba huko Bukoba vijijini,burigi na lile la kule karagwe na bado hujagusa ziwa Victoria.
Mamlaka ya maji bukoba inaitwa buwasa hebu ifuatilie na miradi yake sio kuongelea upupu hapa ndo maana Meno yako yameoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe Ni empty kbs
navyosema uhayan simaanishi bukoba tu namaanisha n'a muleba,misenyi je muleba sio kwa wahaya? Nenda nshamba uulize dumu la maji ni sh ngapi,kule kimwani, nyakabango,ngenge etc pia kukame kabisa je sio uhayan? Ficha ujinga wako mkuu
1154661273.jpeg
 
Kweli we ni kichaa kabisa.mvua zote za bukoba mwaka mzima eti kuwe na shida ya maji? Hivi tz kunasehemu inayopata mvua kama Bukoba? Hivi unajua bukoba kuna maziwa kibao mfano ikimba huko Bukoba vijijini,burigi na lile la kule karagwe na bado hujagusa ziwa Victoria.
Mamlaka ya maji bukoba inaitwa buwasa hebu ifuatilie na miradi yake sio kuongelea upupu hapa ndo maana Meno yako yameoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe Ni empty kbs
navyosema uhayan simaanishi bukoba tu namaanisha n'a muleba,misenyi je muleba sio kwa wahaya? Nenda nshamba uulize dumu la maji ni sh ngapi,kule kimwani, nyakabango,ngenge etc pia kukame kabisa je sio uhayan? Ficha ujinga wako mkuuView attachment 1074878
 
Nshamba ni moja ya maeneo maarufu yanayozalisha ndizi bukoba Kwa Sana Nshamba gani isiyo na migomba
 
Kuna watu wanasifia tu kuna wakati maji Moshi ni ya shida aisee. Acheni kudanganya.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom