Muungano ukivunjika

Hicho kikundi cha afro Shirazi unacho ongea wewe ni cha wahuni tu, ni kikundi kidogo tu, afro Shirazi ni kina mzee Nassor moyo, jumbe, na wengine washakufa, in fact, Zanzibar Hakuna anae taka Muungano, fuatilia maoni ya katiba alivyo ongea Warioba
 
Kwani hicho kikundi kipo Zanzibar au bara na kama hakina athar zozote si mfanye mchakato wenu kwa kujitenga hata kesho sheikh?
Mnawalalamikia wabara wakati vikwazo vipo milangoni mwenu? Rejea bunge la katiba kati ya marhum Asha Bakari na CCM wenzake vs Ismai Jusa na CUF wenzake sasa niambie mchawi alikuwa nani pale?
Mkitoka na agenda moja hakuna wa kuwazuia kujitenga hata kesho, lakini kama wazanzibar wenyewe wanaenda kupingana hadharani mbele ya wanayemdai uhuru unategemea mtoa uhuru uotoe kwa nani mmojawapo kati ya hao wawili?
 
Haya yote yaliyosimuliwa sio sababu ya Zanzibar kushindwa kujitenga sasa hivi kama wakiamua, Nyerere alifanikiwa kufanya hivyo kwa sababu wapo Wazanzibar kwa hiari yao au kutokujua waliamua kuutukuza muungano mbele yake na wakamuahidi kuwadhibiti wenzao watakaopinga muungano na ndio maana wale wote waliopinga wakaitwa na Nyerere inasemekana waliulizwa swali moja dogo tu ''NANI AMEKUTUMA'' NI WAZANZIBAR? NA KAMA NI WAZANZIBAR ULIWAULIZA LINI KUHUSU MUUNGANO?
 
Kwani Tanganyika si ishughulike na mambo yake , ya nini kujishughulisha na mambor ya nchi za watu??
 
Haha alikuwa analinda ugali wake pale, hivi hebu angalia baraza la waakilishi hivi sasa ccm wenyewe wanalia na muungano, tena hao afro Shiraz unaowaona wewe, hii nchi sio ya afro, ní ya wazanzibari, haijali wewe una ethnic gani, hizo siasa zenu ya Unguja na Pemba mwisho chumbe
 
Ulitaka tutumie mizinga ambayo imeshikiliwa na jeshi la uvamizi?? Mbona hamuivamii Kenya?? Wanaosema ukweli mumewakamata na kuwabambikizia kesi za kigaidi
 
Unao ushahidi wa uliyoyaandika??
 
Ulitaka tutumie mizinga ambayo imeshikiliwa na jeshi la uvamizi?? Mbona hamuivamii Kenya?? Wanaosema ukweli mumewakamata na kuwabambikizia kesi za kigaidi
Kwani tushawahi kuungana na Kenya? Ushawahi kumuona Kenyata akichanganya udongo pale Namanga kama alivyofanya Mzee Karume?
 
Kwani tushawahi kuungana na Kenya? Ushawahi kumuona Kenyata akichanganya udongo pale Namanga kama alivyofanya Mzee Karume?
Mzee Karume hakuchanganya mchanga, alie fanya hivyo ni Nyerere, au unao ushahidi, weka picha na maandishi
 
Sasa kama mshaungana ndugu zetu kesho si muanze mchakato wa kujitenga?
Kaka mshatoka huko kwenye Afro na ni kitu kimoja basi yunatarajia bunge linaloendelea Dodoma mtauwasha moto bika kujali huyu ni CCM au CUF kwa maslahi ya Zanzibar na watu wake mkijumlisha na kauli moja ya baraza la wawakilishi kazi kwisha.
 
Mzee Karume hakuchanganya mchanga, alie fanya hivyo ni Nyerere, au unao ushahidi, weka picha na maandishi
Mzee Nyerere alichanganya mchanga akiwa wapi na kwa amri ya nani mpaka achanganye udongo wa wa watu wasiokuwepo au kujadili swala lenyewe? Mbona hakuchanganya wa Kenya, Zambia, Malawi, Msumbiji na kwingineko anakopakana nako akchanganya wa Zanzibar labda mlikuwa na kipi kigeni sana mpaka akawaingiza mkenge watu wazima na masharubu yenu?
 
Kwani tushawahi kuungana na Kenya? Ushawahi kumuona Kenyata akichanganya udongo pale Namanga kama alivyofanya Mzee Karume?

kwani Zanzibar iliungana na Tanganyika ???

Huu si muungano ni uvamizi, Tanganyika chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu Wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na watu kwa kura na kuwakamata mawaziri Wake na kuwafunga katika magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya hata huo uitwao muungano haujafikiriwa na huo mchanga wako wa macho haujachanganywa
 
Umesoma lakini ukaelewa nilichoandika?

ulichokiandika ni hichi

Haya yote yaliyosimuliwa sio sababu ya Zanzibar kushindwa kujitenga sasa hivi kama wakiamua, Nyerere alifanikiwa kufanya hivyo kwa sababu wapo Wazanzibar kwa hiari yao au kutokujua waliamua kuutukuza muungano mbele yake na wakamuahidi kuwadhibiti wenzao watakaopinga muungano na ndio maana wale wote waliopinga wakaitwa na Nyerere inasemekana waliulizwa swali moja dogo tu ''NANI AMEKUTUMA'' NI WAZANZIBAR? NA KAMA NI WAZANZIBAR ULIWAULIZA LINI KUHUSU MUUNGANO?

Tuletee ushahidi wa haya maneno yako
 
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar
 
Hapo ndio mnapofeli, wakati wengine mkijifanya Karume hakufanya chochote na kuwatukuza kina Shamte ndio hapohapo wengine wanapowaona nyinyi ni mamluki, wengine wanaamini kabisa Karume alikubali muungano baada ya kuwastukia nyinyi masalia wa Sultani mtamsumbua baadae na ndio sababu hiyo hamuwezi kukaa meza moja kwani mna ajenda mbili tofauti.
Yale mnayofanya pale Kisonge ndio taswira halisi ya mnapokwama.
 
Sasa ukisoma hapo hujui hata maana ya neno Inasemekana? Wewe yale uliyotuletea kupitia migazeti yako unaweza kutuwekea ushahidi hapa?
 
Bila Tanganyika Hamna Zanzibar utaskia Mimi mpemba au Mimi muunguja au Mimi mmafia msiombe damu ya ubaguzi iendelee kusambaa bora tuje na wazo la serikali tatu kuliko kujitenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…