Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

point yangu ni kwamba, tukitengana mtakuwa tayari kurudi kwenu mtuachie ardhi yetu ya Tanganyia, jinsi mlivyojazana kigamboni, dsm na mikoa yote ya tz. muwe tiari kuhama pia, sio mnalianzisha halafu mnashindwa baadaye.


Mbona hamjiamini mnajisumbua na kisiwa kidogo hivi ???
 
Wapemba wako hata UK , USA mpaka wengine wako kwenye NASA , wengine ni mawaziri kule Canada , na nchi nyengine na wana mali zaidi ya hapo Tanganyika.

Kenya wapemba wako na walikuwa ni nchi moja na Mombasa , Huu si muungano ni UVAMIZI

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano haiwezi kukubaliana na uundwaji wa akaunti hiyo kwa kuwa huko kutakwenda kinyume na kile anachokiita “nia ya kuimaliza kabisa Zanzibar.”

Hayo yamo kwenye mazungumzo yake na Zaima TV kupitia kipindi cha Ajenda ya Zanzibar. Msikilize hapa





kama ndivyo hamna kwenu! kama unapenda wake za wenzio ukichukuliwa wa kwako kausha usilie lie, tulia na wewe Tg ikutafune....kwani hujui [emoji117]
IMG_20180525_140304_827.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Butiama haijawahi kudai kujitenga !


Umeongea nini kule juu na unajibu nini , Mnaacha kazi zenu na wakati wenu kwa kijisiwa Zanzibar .Lini mtashughulika na haya ????

Shule zenu mpaka leo ndio hizi

shule-za-kata.jpg


SHULE+VIJIJINI.jpg



20161223_170330.jpg
 
kama ndivyo hamna kwenu! kama unapenda wake za wenzio ukichukuliwa wa kwako kausha usilie lie, tulia na wewe Tg ikutafune....kwani hujui [emoji117] View attachment 796763 [emoji38] [emoji38] [emoji38]


Ulitaka tufanye kama yule aliyejiingiza kule kisha akajitoa kwa aliyemzaa
 
Na ndugu zake akina James lakini sikusikii kusema ndugu wa mungu na mke Wake , Mary sikusikii kusema mke wa mungu

Hawa ndio ndugu Wa Yesu [emoji117]
57e6f575c50592eaa301ee575cb65f58.jpg
allah amesha kuonya [emoji117]
surah-tawbah.jpg
ilaha unaendeleza unafikiri wako [emoji15] [emoji12]
 
Yesu ana Baba? Mie ni juavyo Yesu ana Bibi na Babu, vipi kuhusu wajomba na Shangazi?

Yesu ana Baba [emoji117]
SOF_Mark-1-11-web-550x700.jpg
kuhusu Babu, shangazi, jomba...[emoji117]
21cfb8cc4fb63594fd614c743f8d5586.jpg
[emoji4]
 
KUMBE UNAELEWA KUWA YESU ANAYE MUNGU ?? UNAFANYA JEURI TU

wewe ulitaka Yesu aongeeje wakati Akiwa ktk Hali yake kibindamu kamili
john-1-14-450x450.jpg
au Mungu hana uwezo Wa kuwa kihivyo?¡
 
wewe ulitaka Yesu aongeeje wakati Akiwa ktk Hali yake kibindamu kamiliView attachment 797076 au Mungu hana uwezo Wa kuwa kihivyo?¡



UMEKUWA MSEMAJI WA YESU ????

HICHO ULICHOKIOKOTA NA KUKI-PASTE ALIKISEMA YESU ????

WAPI ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE MIMI NINAYESEMA HAYA NI MUNGU NIKIWA NIMEJIWEKEA NYAMA ??



 
Back
Top Bottom