Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Umesahau kitu kimoja kikubwa sana, "wapemba watapungua kigamboni na dsm, na mikoani, watakuwa either wahamiaji haramu wanaotakiwa kufurushwa au watapata shida sana ya uraia kwasababu zenji wataipenda na bara wataipenda kutokana na kwamba wamewekeza, wamenunua ardhi etc. jambo hili nakuhakikishia litakuwa na hasara kubwa zaidi kwa wazanzibari kuliko wabara, kwasababu ukichukua asilimia kubwa ya watu wa bara, waulize kama wanaipenda zenji, utakuja kugundua wengi wao hata haipo vichwani mwao na hawaoni kama kutakuwa na madhara. ukienda mkoa wowote tz kuna wazenji wamenunua ardhi wanaishi kama watz, ila ukienda zenji wabara wenye ardhi ni wa kuuliza, na wengi wanaenda either kufanya kazi na kuondoka tu. siku mkivunja muungano (jambo ambalo mimi sitalichukia), mtakuja kujikuta mmepoteza kitu kikibwa sana ambacho mlikuwa hamjui na hamtakuja kukipata tena. huwezi kuujua umuhimu wa Tanganyika hadi pale utakapoipoteza.

Elewa Mombasa ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar kabla mwingereza hajawapa wakenya 1963 , Mbona hayo uliyoyaandika hayajatokea na bado kuna wazanzibar wengi tu wanaishi Kenya kama wakenya wanavyoishi Zanzibar ??
 
Zanzibar zaidi kisiwa cha Pemba, wakituhakikishia hawawezi kuwa base ya extremist kama Alshaabab,ISIS,Alqaida nawaunga mkono 100% wajigawe tu.Waachane na haya makucha ya mkoloni mweusi fisiem!
Ina maana hata Wanachadema ni anti muungano au nyinyi kazi yenu ni kudandia hoja tuu for the sake of Upinzani?!!
 
Zanzibar zaidi kisiwa cha Pemba, wakituhakikishia hawawezi kuwa base ya extremist kama Alshaabab,ISIS,Alqaida nawaunga mkono 100% wajigawe tu.Waachane na haya makucha ya mkoloni mweusi fisiem!

Kwani hiyo base haiwezi kuwepo Butiama ??
 
Mimi kwa baba kassim ni kafir innsui Wa kweli kweli
Nilikushauri mapema gvn kwamba kama muungano hamuutaki wawekeeni tuta wabunge, mawaziri... yaani waserekali woote waki-zenj wasivuke bahati kuja Tg, kutakuwa hakuna muungano tena lakini Hivi ninavyo andika! wapemba wako kyera wanakusanya mpunga, robo tatu ya magenge ya vitunguu na nyanya dar Mali ya wapemba, ukienda machinjioni kuanzia saa tisa usiku wapemba wamejazana kuchukua vichwa vya ng'ombe, utumbo, hashua, hadi mimba za ng'ombe kupika supu, nenda fery wamejazana hatari, wako kilombero wanakusanya ruby, hadi wako chanika wana mabanda ya kufuga mdudu Yaani vibua halafu mnachonga humu muungano ufe tafadhalini unapo kula usimshike pofu mkono?! wa-Tg tunawaona nyodo zenu wahenga walisema unapo bebwa usinyooshe miguu ilaha ikunje ubwebwe vizuri...

Nilijua tu punde utakuja kwa id yako halisi , unafikiri sijui najadiliana na nani kabla ??
 
Mbona unapenda kuwafikiria watu ubaya tu ?? mbona wasomali wako wengi wazuri tu , na hapo dar wako wengi tu zaidi ya hao uliyowaandika na hatujawaona kuzunguka na majambia ??

Zanzibar kisiwa tu mumekivamia sababu ni DINI hakuna chengine kama vitabu vya Kikatoliki vinavyosema. Hao watu wa kila nchi mpaka machina wamekuja na kuishi kwa amani , vurugu na chuki hizi zimekuja baada ya huu uvamizi , kwa kudai uhuru wao wanaambiwa mara magaidi, mara wanataka kujiunga somalia , mara Arabuni , imekuwa NOMA
Haqi kwani huijui gvn?
 
Mimi kwa baba kassim ni kafir innsui Wa kweli kweli
Nilikushauri mapema gvn kwamba kama muungano hamuutaki wawekeeni tuta wabunge, mawaziri... yaani waserekali woote waki-zenj wasivuke bahati kuja Tg, kutakuwa hakuna muungano tena lakini Hivi ninavyo andika! wapemba wako kyera wanakusanya mpunga, robo tatu ya magenge ya vitunguu na nyanya dar Mali ya wapemba, ukienda machinjioni kuanzia saa tisa usiku wapemba wamejazana kuchukua vichwa vya ng'ombe, utumbo, hashua, hadi mimba za ng'ombe kupika supu, nenda fery wamejazana hatari, wako kilombero wanakusanya ruby, hadi wako chanika wana mabanda ya kufuga mdudu Yaani vibua halafu mnachonga humu muungano ufe tafadhalini unapo kula usimshike pofu mkono?! wa-Tg tunawaona nyodo zenu wahenga walisema unapo bebwa usinyooshe miguu ilaha ikunje ubwebwe vizuri...

Wapemba wako hata UK , USA mpaka wengine wako kwenye NASA , wengine ni mawaziri kule Canada , na nchi nyengine na wana mali zaidi ya hapo Tanganyika.

Kenya wapemba wako na walikuwa ni nchi moja na Mombasa , Huu si muungano ni UVAMIZI

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano haiwezi kukubaliana na uundwaji wa akaunti hiyo kwa kuwa huko kutakwenda kinyume na kile anachokiita “nia ya kuimaliza kabisa Zanzibar.”

Hayo yamo kwenye mazungumzo yake na Zaima TV kupitia kipindi cha Ajenda ya Zanzibar. Msikilize hapa

Halafu Avatar yake ameweka jina la Allah nadhani anajitafutia laana.

Tofautisha kati ya allah anaeapa kwa aliyeumba dhakar na ku%$#
hqdefault (9).jpg
na ALLAH AMBAYE NI QUN FAYA QUN kuona jina Allah tu unafikiri ndie huyo huyo allah
 
Huyo namweza mimi maana ninaye miaka mingi
eti namuweza mimi wewe Mungu huna Kitab huna wala mtume huna ni mzee Wa kilingeni kuosha mbuguma nuksi, kushona mahirizi, kaandika tarasimu na saa Habari...unafikiri sijui kilinge chako eeh
 
Zanzibar ilikuwa ni nchi ya amani na ikiwaona nyinyi watanganyika kuwa ni watu wema . Ni nani alikuambia Zanzibar ilikuwa na jeshi ??

Aliyevamia siye wewe ni Laaanatullahi Nyerere na jeshi lake kwani baada ya kuivamia alimkamata Waziri Mkuu Wake aliyechaguliwa na wananchi pamoja na baraza la Mawaziri na kuwafunga katika magereza ya Tanganyika bila kuwafikisha mahakamani kwa zaidi ya miaka 10 , kabla huo uitwao muungano haujafikiriwa
 
Wenzenu wanazidi kuungana nyie mnafikiria kutengana!! Badala ya kufikiri ni vipi tunaweza kwenda hatua kubwa zaidi katika umoja wa EA tunafikiria kuadd member mwingine Zanzibar!

Hakuna kinachozuia Zanzibar kuendelea ambacho kinakwamishwa na muungano, achilia mbali fikra za jumuiya za misaada.

Nchi inajengwa kupitia rasilimali zake. Leo mafuta yakipatikana Zanzibar yatabaki kuwa ya Zanzibar na hakuna la kubadili hilo. Umoja wetu ndio nguvu yetu, msidanganywe!
nan kasema yatabaki ya zanzibar hivi tanganyika unaijua wewe ni fasta bomba la kutoa mafuta zanzibar to dar kinyerezi liwepo
 
Elewa Mombasa ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar kabla mwingereza hajawapa wakenya 1963 , Mbona hayo uliyoyaandika hayajatokea na bado kuna wazanzibar wengi tu wanaishi Kenya kama wakenya wanavyoishi Zanzibar ??
point yangu ni kwamba, tukitengana mtakuwa tayari kurudi kwenu mtuachie ardhi yetu ya Tanganyia, jinsi mlivyojazana kigamboni, dsm na mikoa yote ya tz. muwe tiari kuhama pia, sio mnalianzisha halafu mnashindwa baadaye.
 
Ina maana hata Wanachadema ni anti muungano au nyinyi kazi yenu ni kudandia hoja tuu for the sake of Upinzani?!!
No.1 Mimi sina chama chochote toka nilipokuwa CCM kwa lazima kipindi cha chama kimoja.No.2 Mimi kwangu ni utaifa kwanza.Sipendi kuona uonevu kwa mtanzania yeyote.
Ikitokea waZanzibar wameamua kuvunja muungano kwa utashi wao Mimi nitaWasupport.Huwezi kuwaamulia watu hatima yao!
 
Back
Top Bottom