Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Ukiwekewa mezani FIFA au OIC utachagua lipi?!


Kwanini mnashindwa kuiwachia Zanzibar kuamua wanavyotaka , MBONA HAMUIAMULII Rwanda AU KENYA AU KWA SABABU NI NCHI KUBWA ZINA JESHI LINALOWEZA KUWASAMBARATISHA ??
 
Ishu sio fifa wala oic ishu ni Uhuru.
Mwaka jana nilitembelea visiwani Zanzibar nilishuhudia watu walivyo huru wenye furaha wachangamfu,nikawa najisemea rohoni; "wanasiasa bhana, ukiwasikiliza utasema visiwa vinawaka moto."
 
Mwaka jana nilitembelea visiwani Zanzibar nilishuhudia watu walivyo huru wenye furaha wachangamfu,nikawa najisemea rohoni; "wanasiasa bhana ukiwasikiliza utasema visiwa vinawaka moto."

Hata wewe mwenyewe hupo huru. Unahitaji kujielewa ili kujifaham
 
Hata wewe mwenyewe hupo huru. Unahitaji kujielewa ili kujifaham
Dini yangu pia hainiruhusu kuwa na Uhuru kupita kiasi,ila Uhuru alhamdulilahi ninao haswa wa kubadili mboga.
 
Daah.. afadhali yule murtadi katuondokea ilikuwa imeshakuwa kero.
 
UUndugu wetu na Wazanzibari tuudumishe na Allah atufanyie wepesi tuziondoe kero zoote ili tu ufaidi muungano wetu.
 
Dini yangu pia hainiruhusu kuwa na Uhuru kupita kiasi,ila Uhuru alhamdulilahi ninao haswa wa kubadili mboga.

Hata wakati wa ukoloni mboga kubadili mukibadili lakini bado mkisema hamuko huru.
 
Hutofurahi kwa sababu ya jumuia moja kwani jumuia hairuhusu nchi nyengine kujiunga na nchi jirani ??
Sasa hebu fikiria Wasomali elfu hamsini na majambia wazunguke katika mitaa ya Dar na Zanzibar si hatari sana.
 
Daah.. afadhali yule murtadi katuondokea ilikuwa imeshakuwa kero.

Haaminiki yule , anaweza kuja na ids nyingi na yaelekea yumo kwa jina jengine , ningalikuambia lakini sitaki kupoteza wakati kumcheck ip adress yake
 
Sasa hebu fikiria Wasomali elfu hamsini na majambia wazunguke katika mitaa ya Dar na Zanzibar si hatari sana.


Mbona unapenda kuwafikiria watu ubaya tu ?? mbona wasomali wako wengi wazuri tu , na hapo dar wako wengi tu zaidi ya hao uliyowaandika na hatujawaona kuzunguka na majambia ??

Zanzibar kisiwa tu mumekivamia sababu ni DINI hakuna chengine kama vitabu vya Kikatoliki vinavyosema. Hao watu wa kila nchi mpaka machina wamekuja na kuishi kwa amani , vurugu na chuki hizi zimekuja baada ya huu uvamizi , kwa kudai uhuru wao wanaambiwa mara magaidi, mara wanataka kujiunga somalia , mara Arabuni , imekuwa NOMA
 
Back
Top Bottom