Muungano ukivunjika

Elewa Mombasa ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar kabla mwingereza hajawapa wakenya 1963 , Mbona hayo uliyoyaandika hayajatokea na bado kuna wazanzibar wengi tu wanaishi Kenya kama wakenya wanavyoishi Zanzibar ??
 
Zanzibar zaidi kisiwa cha Pemba, wakituhakikishia hawawezi kuwa base ya extremist kama Alshaabab,ISIS,Alqaida nawaunga mkono 100% wajigawe tu.Waachane na haya makucha ya mkoloni mweusi fisiem!
Ina maana hata Wanachadema ni anti muungano au nyinyi kazi yenu ni kudandia hoja tuu for the sake of Upinzani?!!
 
Zanzibar zaidi kisiwa cha Pemba, wakituhakikishia hawawezi kuwa base ya extremist kama Alshaabab,ISIS,Alqaida nawaunga mkono 100% wajigawe tu.Waachane na haya makucha ya mkoloni mweusi fisiem!

Kwani hiyo base haiwezi kuwepo Butiama ??
 
Nilijua tu punde utakuja kwa id yako halisi , unafikiri sijui najadiliana na nani kabla ??
 
Haaminiki yule , anaweza kuja na ids nyingi na yaelekea yumo kwa jina jengine , ningalikuambia lakini sitaki kupoteza wakati kumcheck ip adress yake
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Haqi kwani huijui gvn?
 
Wapemba wako hata UK , USA mpaka wengine wako kwenye NASA , wengine ni mawaziri kule Canada , na nchi nyengine na wana mali zaidi ya hapo Tanganyika.

Kenya wapemba wako na walikuwa ni nchi moja na Mombasa , Huu si muungano ni UVAMIZI

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano haiwezi kukubaliana na uundwaji wa akaunti hiyo kwa kuwa huko kutakwenda kinyume na kile anachokiita β€œnia ya kuimaliza kabisa Zanzibar.”

Hayo yamo kwenye mazungumzo yake na Zaima TV kupitia kipindi cha Ajenda ya Zanzibar. Msikilize hapa

[emoji38] [emoji38] [emoji38]

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Halafu Avatar yake ameweka jina la Allah nadhani anajitafutia laana.

Tofautisha kati ya allah anaeapa kwa aliyeumba dhakar na ku%$# [emoji117] na ALLAH AMBAYE NI QUN FAYA QUN kuona jina Allah tu unafikiri ndie huyo huyo allah [emoji15] [emoji4]
 
Huyo namweza mimi maana ninaye miaka mingi
eti namuweza mimi [emoji15] [emoji12] wewe Mungu huna Kitab huna wala mtume huna ni mzee Wa kilingeni kuosha mbuguma nuksi, kushona mahirizi, kaandika tarasimu na saa Habari...unafikiri sijui kilinge chako eeh [emoji4]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
nan kasema yatabaki ya zanzibar hivi tanganyika unaijua wewe ni fasta bomba la kutoa mafuta zanzibar to dar kinyerezi liwepo
 
Elewa Mombasa ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar kabla mwingereza hajawapa wakenya 1963 , Mbona hayo uliyoyaandika hayajatokea na bado kuna wazanzibar wengi tu wanaishi Kenya kama wakenya wanavyoishi Zanzibar ??
point yangu ni kwamba, tukitengana mtakuwa tayari kurudi kwenu mtuachie ardhi yetu ya Tanganyia, jinsi mlivyojazana kigamboni, dsm na mikoa yote ya tz. muwe tiari kuhama pia, sio mnalianzisha halafu mnashindwa baadaye.
 
Ina maana hata Wanachadema ni anti muungano au nyinyi kazi yenu ni kudandia hoja tuu for the sake of Upinzani?!!
No.1 Mimi sina chama chochote toka nilipokuwa CCM kwa lazima kipindi cha chama kimoja.No.2 Mimi kwangu ni utaifa kwanza.Sipendi kuona uonevu kwa mtanzania yeyote.
Ikitokea waZanzibar wameamua kuvunja muungano kwa utashi wao Mimi nitaWasupport.Huwezi kuwaamulia watu hatima yao!
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
duuu [emoji15] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…