Muundo huu wa Muungano utatuumiza sisi Wazanzibar!

Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,
Unatakaje mkuu?kumbuka hata mkitaka kujitenga ruksa,huu siyo muda wa kubembelezana!
 
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,

Kasheshe, long time man no see in the forum, yaani mpaka rasimu ya katiba ndio imekurudisha humu ndani. Anyway, concern yako iko genuine, whatever the form of utawala na/au muungano, sie wananchi, bara au visiwani tunahitaji pesa mfukoni, hayo mengine ni kwa wapenda masaluti!
 
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,

hivi mna wabunge wangapi kwenye serikali ya jamhuri ya muungano?
Je mpo tayari kuachia hizo nafasi?
 
Aaah! Warioba kafanya nn hamu yangu nikija Tanganyika nigonge muhuri ktk Passport nimechoka kwenda Tanganyika km chooni warioba c ungetuwekea mkataba munapata nn kwe2 Wadanganyika hadi mwatu ng'ang'ania yakheeee
Hatupati kitu Kwenu na hamung'ang'aniwi Bali viongozi wanauenzi muungano wa viongozi waasisi wa Taifa hili na Kama mnazani Zenji mnajiweza wambie wazenji wote waludi nyumbani toka bara uone Kama watakubali
 
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,
Zenji mnapaswa muwapende bara kwani wanawapatia umeme chakula na ajila kubwa sana na endapo mtavunja muungano Bara atanufaika zaidi kwani fedha za kuihudumia zenji zitabaki na kuinua uchumi huku zenji wakianza kusaka wahisani
 
Ikiwa rasimu hii ikapitishwa na kuandikwa kwenye katiba natabiri kifo cha muungano baada ya uchaguzi mkuu 2015
 
Wazanzbari siku zote walikuwa wana beep. Sasa watanganyika wamewapigia vizuri tu. Hongera mzee Warioba!
 
hivi mna wabunge wangapi kwenye serikali ya jamhuri ya muungano?
Je mpo tayari kuachia hizo nafasi?

Tatizo sio nafasi, tatizo ni mamlaka ya zanzibar, tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili,kitaifa na kimataifa
 
Tatizo sio nafasi, tatizo ni mamlaka ya zanzibar, tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili,kitaifa na kimataifa

Itabidi hizo harakati mzifanye nje ya bunge la Muungano kwa sababu wale wenzenu wa mle ndani(bungeni) hawatakuwa upande wenu, watakuwa wanajali maslahi yao binafsi zaidi kuliko Zanzibar yenye madaraka kamili.
 
Mungu ajalie na hayo mambo saba yaondolewe, lah yakibaki baci Zanzibar ilie, najua watanganyika wataanza kuhoji kaburi la babu mzaa babu katika ajira za Tanganyika na Viwanja vyao. Maana sipati picha juu ya sheria ya ajira na ardhi ya itakayokuwa Tanganyika aka Tanzania Bara itakaotungwa na akina Tundu Lissu, Mnyika, Lema et al
 
Nyie wazenji nia yenu ni kujitenga halafu muwashawishi Lindi, Mtwara,Pwani na Tanga wawaunge mkono kisha muiteke Dar es salaam hapo roho zenu zitakuwa zimewatua na ile ndoto yenu ya udini kutimia.Nakuhakikishieni ilo halitotimia kamwe mtaishia kuuwawa kama kuku.
 
naona wanzanzibar wapewe tu nchi yao ili hizi kelele zipngue. tumechoka kuambiwa kuwa cc wabara tunawanyonya wakati kuna cc wengine tokea tumezaliwa hatujawahi kanyaga hko visiwani. tuwaachie zanzibar yao jaman, tabu ya nn??
 
Kuna timu ya soka kule inaitwa Jamhuri ya Pemba

Nasikia na dodoma kuna uwanja unaitwa Jamhuri Dodoma, na pia kuna shule inaitwa Jamhuri Dodoma. Nao watakuwa wanataka kuanzisha jamhuri ya Dodoma?
 
Nasikia na dodoma kuna uwanja unaitwa Jamhuri Dodoma, na pia kuna shule inaitwa Jamhuri Dodoma. Nao watakuwa wanataka kuanzisha jamhuri ya Dodoma?
Ni uwanja wa Jamhuri Dodoma, lakini timu hiyo ya huko visiwani inaitwa Jamhuri ya Pemba !!!
 
Back
Top Bottom