Muundo huu wa Muungano utatuumiza sisi Wazanzibar!

Leo serikari 3 kesho utasikia serikari 4 mara 5 au zaidi ! Miaka 50 ya Uhuru tumeshwindwa kuwa wamoja na kuwa na serikari Moja? Na kupunguza gharama za kuiendesha serikari lufufu huku bajeti ikitegemea wafadhili toka nje

Kumbuka miaka 50 ya uhuru wamezaliwa akina Jonas Savimbi wengi, kwa bila madaraka basi ndio kama nchi haipo!
 
Ukija maeneo ya ilala buguruni,
vingunguti, magomeni, wapemba wamejaa tele... Kuannzia wajukuu mpaka vilembwe! Nataka muungano uvunjike warudi kwao.. Wanauza mpaka UROJO MISKAKI LAKINI UTASIKIA WANASEMA HAWATAKI MUUNGANO. Tumewabeba vya kutosha hata wakirudi kwao hawatatosha kamwe.
ILA NATAMANI UVUNJIKE WAJE NA PASPORTS ILI WAACHE JEURI.
 
JAJI WARIOBA hakutuelewa wazanzibar tunataka mamlaka kamili ya zanzibar nani kamwambia mambo saba ya muungano hiyo akileta huku tutaipiga kibuti .sisi tunajua kusimamia ajenda yetu ya ZANZIBAR KWANZA MAMLAKA KAMILI

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR'' kwanza mambo saba ya muungano mwisho chumbeee

tulieni tuwatibu maana maliberali huwa hamridhiki!
 
Hivyo tena serikali zote mbili zinatakiwa kuchangia namna ya kuendesha serikali ndogo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... serikali ya wizara sisizozidi 15.... why not zisizozidi 9..... ooh pu!!!! Expensive again.
 
JAJI WARIOBA hakutuelewa wazanzibar tunataka mamlaka kamili ya zanzibar nani kamwambia mambo saba ya muungano hiyo akileta huku tutaipiga kibuti .sisi tunajua kusimamia ajenda yetu ya ZANZIBAR KWANZA MAMLAKA KAMILI

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR'' kwanza mambo saba ya muungano mwisho chumbeee
Chezea rasimu wewe !dawa ni kuzufuta kero zote za muungano si kuleta gharama kuziongoza wizara 4 tu zilizo ktk muungano Kwa kuziletea serikari Tatu! Hizo serikari mbili moja inaongoza eneo kubwa na ingine visiwa lakini huku viongozi watatu.na visiwani watatu pia yaani mkubwa na mdogo ngoma droo !na bado imeshindwa kuwapa umoja hadi kuwa na serikari moja? Dawa ni uawala wa majimbo kama USA wakishindwa wajaribu serikari moja yenye nguvu ikiwa na mbinu za kufuta kero Kwa kasi kubwa
 
Ondoa kero kwanza kisha serikari moja tu inatosha imbalance vizuri kwani serikari tatu bila kero kufutika itakuwa ndoto kuepuka ulalanishi Wa wazenji
 
Ukija maeneo ya ilala buguruni,
vingunguti, magomeni, wapemba wamejaa tele... Kuannzia wajukuu mpaka vilembwe! Nataka muungano uvunjike warudi kwao.. Wanauza mpaka UROJO MISKAKI LAKINI UTASIKIA WANASEMA HAWATAKI MUUNGANO. Tumewabeba vya kutosha hata wakirudi kwao hawatatosha kamwe.
ILA NATAMANI UVUNJIKE WAJE NA PASPORTS ILI WAACHE JEURI.

Mkuu ile dozi yako ya vidonge ya kuponya akili umeimaliza?
 
Chezea rasimu wewe !dawa ni kuzufuta kero zote za muungano si kuleta gharama kuziongoza wizara 4 tu zilizo ktk muungano Kwa kuziletea serikari Tatu! Hizo serikari mbili moja inaongoza eneo kubwa na ingine visiwa lakini huku viongozi watatu.na visiwani watatu pia yaani mkubwa na mdogo ngoma droo !na bado imeshindwa kuwapa umoja hadi kuwa na serikari moja? Dawa ni uawala wa majimbo kama USA wakishindwa wajaribu serikari moja yenye nguvu ikiwa na mbinu za kufuta kero Kwa kasi kubwa

Naiona tanganyika huru ileeee....
 
Zanzibar ni kama mkoa wa Mtwara wanatakiwa waminywe hivyo hivyo
 
leo nyama ya kasa imechinjwa na kuliwa wazi wazi mambo nje nje.naona wale wanaofurahia rasimu watulie na w wanaotafakari kwa kina wazidi kutafakari .kwa uzoefu wangu ikiwa itakubaliwa rasimu sehemu zote za TZ zitapata hasara ingawa zinatofautiana ukubwawa hasara hiyo .natoa mfano tu maskini Jussa anafurahia haelewe gharama za kuendesha vyombo vya kimataifa au ndio wafalme wamewaahidi k uwa letea makontena ya fedha.kwa mfano suala la anga itabidi zanzibar igharimike kujiunga na jumuia ya usalama wa anga na masuala yote yanogusa watu zanzibar yanayogusa na uhusiano na nje itabidi itafute fedha za kujiendesha.pia nnaona mtego na ushindani mkubwa utakuwa katika suala la mapato kwani kila nchi iwe na sera zake .kwa zanzibar ni kiasi gani wanapata kwa mwezi ukiangalia udogo wa viwanda na watendaji amabo wanalipa kodi ya mapato kwenye mishahara.

kama nilivyosema mwanzo hayo maeneo 7 hayatoshi kwani hata kwenye muungano wa serikali 50 kama marekani kuna mambo ya kitaifa ambyo serikali shirikishi lazima wawe na mamlaka nayo .ikiwa rasimu hii itakubaliwa ni afadhali kushinda mkataba lakini wengi tutailila Tanzania .kwa kuangalia familia nikama ndoa imefikia hatua kwamba kila mwanandoa afnye anachotaka kasoro vitu kiduchu .sasa tunaenda mbele au nyuma mungu ibariki Tanzania .Naomba wanachi wataona mtego uliotayarishwa na hiyo kamati ilijiteuakwa kuleta maridhiano .Nachukia sana mazungumzo ya kugawana mali chuki na hasira zitakuwepo hapo kila mtu atahapo ndipo watapoelewa kwamba afadhali tu kubaliane mambo ya kutujenga zaidi na sio yakutubomoa
 
Aaah! Warioba kafanya nn hamu yangu nikija Tanganyika nigonge muhuri ktk Passport nimechoka kwenda Tanganyika km chooni warioba c ungetuwekea mkataba munapata nn kwe2 Wadanganyika hadi mwatu ng'ang'ania yakheeee
 
Mkuu kwa nini? Sisi wengine tunashangilia kurudishiwa bendera yetu, wimbo wetu wa taifa na jina la Nchi yetu. Ninyi mmekuwa navyo hivyo wakati wengine tulikuwa tunapiga miayo kuvisubiri hivyo vitu.

Asee mmetisha sana yani kumbe jina tu na wimbo ndo vilikuwa vinawanyima usingizi.
 
Ukija maeneo ya ilala buguruni,
vingunguti, magomeni, wapemba wamejaa tele... Kuannzia wajukuu mpaka vilembwe! Nataka muungano uvunjike warudi kwao.. Wanauza mpaka UROJO MISKAKI LAKINI UTASIKIA WANASEMA HAWATAKI MUUNGANO. Tumewabeba vya kutosha hata wakirudi kwao hawatatosha kamwe.
ILA NATAMANI UVUNJIKE WAJE NA PASPORTS ILI WAACHE JEURI.

wewe ilala, temeke na kariakoo sio kwenu. Kwenu ni musoma na arusha nenda zako huko wacha pwani yetu ya waswahili na waislam inakukera nini?
 
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,

Kuwa mwenye kushukuru neema hii ni hatua kubwa kwa serikali ya muungano kukubali, kila kitu lazima kiwe na mahali pa kuanzia, na mapinduzi si ya siku moja, ndio maana tunasema "mapinduzi daima" pamepatikana mahali pa kuanzia sasa ni kwenda mbele. hebu tuone hayo mamlako iliopewa Zanzibar kama hayatakuwa abused kabla ya kutaka mamlaka zaidi, inawezekana ukawa unalilia wembe, baada ya kupata mamlaka ya kipolisi mkaanza kukamatana na kuwekana ndani bila ya kupelekana mahakamani, au mahakama zikawa na mkono wa siasa na mengineyo na haki kuipata mpaka uwe god father, ni vizuri kwenda hatua kwa hatua hadi kufikia hayo mamlaka kamili.

Haikuwa kazi ndogo kwa mkoloni mweusi (Tanganyika) kuyakubali yaliotangazwa leo tumshukuru Mungu. My worries will be on abuse of power kwa upande wa Zanzibar, hasa kwa kuwa Zanzibar haina rekodi nzuri katika kutekeleza haki za binaadamu, huenda makelele yako ikawa unalilia wembe, then it will be too late.
 
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,
Huyu Kasheshe kuna kitu amekiona!
Ingawa sijasoma hiyo rasimu na sikubaliani natume nzima na mwenendo wake kuanzia mwanzo, kwa kuangalia haraka haraka wznz wa kawaida wameumia sana.
Just looking at the draft, tunasubiri details

1. Uwepo wa Tanganyika maana yake ni nchi inayojitawala na itakuwa na uwezo wa kuweka sheria zake.
Sheria zinazombana Mtanganyika znz zitambana mzn zTanganyika. Hilo sasa halina shaka.

2. Mambo yote yaliyoachwa katika muungano ni huduma kwa mznz. Mathalan, sasa kusoma elimu ya juu bure hakuna tena, maana Tanganyika haitakubali kutoa mipesa ya bure kwa serikali nyingine.

3. Upendeleo wa kuingia vyuo sasa basi, itabidi wabanane SUZA na Tunguu.

4. Nishati kama umeme sasa ni pesa tu, hakuna tena mjomba

5. Utumishi, serikali ya Tanganyika haitakubali raia wake watembee na bahasha kwa kufadhili Mznz

6. Usafiri wa anga , hakuna kitu Tanganyika ina nufaika nacho kwa kuwa na znz, kinyume chake ni kweli.

7. Bandari, sasa ni ushindani sijui nani atapeleka container 2 znz dunia ya leo. Hivi sasa tu yanateremkia Dar wakati huo kukiwa na bandari huru Tanga na Bagamoyo, Mtwara na Dar hiyo ya znz itabaki kupokea madau na mitumbwi.

8. Kodi, kila serikali itataka kodi mznz wa kawaida ataleta nini katika soko la watu milioni 40?

9. Baraza la mitihani, wamepunguza mzigo na wameongeza gharama kwao.

10. Utumishi na ajira, sasa ndio mwisho hakuna kutanguliza uzanz kama CV.

Kwa ufupi kila kilichoondolewa ni kwa faida yao. Hata vilivyobaki.

Tuwahimize wakatae kabisa hata hayo 7
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom