Muundo huu wa Muungano utatuumiza sisi Wazanzibar!

Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.

Kasheshe @ Bububu,

Ni kweli hautakuwa na tija kwa sababu mtatakiwa mchangie serikali ya muungano wakati nyie mnapenda kupewa tu na sio kutoa. Ubinafsi wenu utawamaliza. juzi tu mafuta yamepatikana pemba mnataka kujitoa kwenye Muungano. Yakishaisha sijui mtarudi tena au kwa aibu mtakwenda kuungana na Madagascar na Mauritius. Muungano ndio unakufa ivyo, labda mkubali kuchangia. Hakuna cha dezo tena. Mkishakuwa na mamlaka kamili mtajiunga na East Africa Community, huko nako mtatakiwa mchangie. Kudadadeki, dezo dezo kwishenei!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom