HOVYO HOVYO
Member
- Jul 6, 2017
- 34
- 27
Naomba kufahamishwa jina la mhudumu wa hospitali wa kiume kwa jina la taaluma yake, kama wa kike ni nurse je wa kiume ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha nesi WA kiume au wa kike, Ni nesi Tu. Kwani kama Ni Daktari mnaita Daktari wa kike au wa kiume?Nesi wa kiume
Anaitwa josefuNaomba kufahamishwa jina la mhudumu wa hospitali wa kiume kwa jina la taaluma yake, kama wa kike ni nurse je wa kiume ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kufahamishwa jina la mhudumu wa hospitali wa kiume kwa jina la taaluma yake, kama wa kike ni nurse je wa kiume ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app