juu kwa juu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 260
- 48
NIPENI cv YA HUYO KISWAGA PSE.
Ilipataje kura za urais kama mlikuwa hamuipendi?
Mnaacha kushangaa jk kuwa rais,mnamshangaa huyo?
Nasikitika sana kuona jinsi chuo changu kinavyozidi kufa. Pale Level Square nilipita last week nikakuta nyasi zimeota kama Nyikani wakati enzi zetu pale ilikuwa ni vumbi kwenda mbele.
TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
Looh !!! yaani hakuna Daruso.
sasa UDSM kimebaki nini? Hakuna mzee panch, Hakuna Daruso. Sasa kuna nini?
Sasa atakiona cha moto Nanyumbu. DAS wa Nanyumbu ana cheo cha Principal Administrative Officer (PAO) yaani ana uzoefu wa kazi wa zaidi ya miaka 12 kazini halafu anakwenda kuwa chini ya Kiswaga? Ndio maana migongano ya kiutawala haitakwisha kamwe kwenye serikali yetuYawezekana alibadilika baada ya kupata uongozi.Kwani we mgeni na wanasiasa? Kiufupi,Kiswaga nimjuaye hana uwezo wa uongozi.Wakati wa uongozi wake,aliyekuwa anambeba ni Waziri Mkuu wake,Enos Edwin.Niliwahi kuhudhuria naye Mkutano wa Senate ya Chuo pale UDSM nikiwa kama Senator.Nilijuta kuwepo alipo.Hana points,hana confidence,hana kikristu,hana lolote.Huu ni ukweli niujuao.Hakuwawakilisha vyema wanafunzi wake kiukweli...
si mlimchagua wenyewe hamkujua kwamba ni gamba!!!????
Ilipataje kura za urais kama mlikuwa hamuipendi?
ni nambari 40 kwenye orodha ya wakuu wa wilaya wapya. Si mwingine ni festo kiswaga-nanyumbu. Alikuwa rais wa serikali ya wanafunzi(udsm) mwaka 2010. Ndiye muuaji na mzishi wa daruso. Sasa rev. Square imekuwa level square.
Hakuna mapambano ya kimapinduzi. Kiswaga alishamakiza kilakitu. Sasa amepewa zawadi ya ushindi...