'MUUAJI' wa DARUSO awa Mkuu wa Wilaya...

Odong kunyimwa haki yake ya kuwa rais udsm me naona ndo chanzo rev square kupotezea hadhi yake..
 
Sisiem watachana lini na vilaza, Just imagine mtu kama huyu ana maadui zaidi ya 15000 wasomi wa level ya Degree then anakuwa mkuu wa wilaya unasubiri nini kama si kifo cha CCM?

Note: Kawaacha Ndugu zake kadhaa ndiyo wale juzi walioandamana kwenye kwa Nape.

Kama yeye ni kilaza na mkampa kura sijui nyie tuwaite wakina nani
 
No wonder nakumbuka jamaa anaitwa BUSH wakati akiwa waziri wa BOOM UDSM alisema atafia utawala kwa mkandara bt baada ya kumaliza huyo afisa mikopo kwa wana udsm,dah hapo nilichoka.
Kiswaga Festo sijui ata UDSM aliingiaje coz ni tabla laza la ajabu bt all in all ni CCM our blind driver.
 
Yaani hawa wakuu wa wilaya inaonyesha ni makapi,majala,matope,masifuri,masufuria,magarasa,mafisadi,machukuachako mapema,madanganyifu,.........................magamba!
 
DARUSO ni dead organ since enzi za Mwita Magesa (huyu ndo aliua DARUSO). Na sifahamu yupo wapi maana alipotoka Waitara na Aulelia, walimuacha Mwita amabye alipendwa na wengi kwa kumshinda Makoye lakini akafanya madudu mwisho wa utawala wake. Akafuatia DEO (huyu aliwaacha soremba wanafunzi kwenye mgomo na maandamano akifichwa na TISS) then waliofuatia ndo KUSHINE kama hawa muwaonao sasa.
Katika uteuzi huu kuna wakuu wa wilaya wawili viongozi wa zamani wa DARUSO ambao ni Kiswaga (Udsm-Main Campus) na Hassan E Masala (Udsm-DUCE, 2006-2007).
 
huyu kiswaga kweli naamini ni jasusi kwa sababu nasikia alishakuwa rais wa umoja wa vyuo east afrika , eti alichaguliwa na marais na wajumbe kutoka vyuo vyote vya kenya, uganda, rwanda na bujumbura sijui ilikuwa kampala na nairobi. Labda alichakachua hata huko maana kwa uchakachuaji jamaa hajambo. Shame on him
 
Hadi hapo tayari CCM kitakua kimejiua kabisa kwa Wana-UDSM waliosoma na huyo msaliti enzi hizo licha ya CCM STRATEGIST (S) aliyepanga hiyo listi ya U-KUU WA WILAYA kudhania kwamba itakua ni njia rahisi chama hicho kujigemea kura ki-urahisi.
 
Back
Top Bottom