Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 596
- Thread starter
- #21
...kazi ipo...
Tena sio ndogo. Hii nchi inaongozwa kwa sheria zipi? Nazungumzia kama secular state au?
...kazi ipo...
Dini inaruhusu hilo? Just curious!
Mwili umesisimuka kwa woga! Hivi tunaelekea wapi? Watu wanatumia muda mwingi kuwaza ngono. Aibu kwao!!!
Nani ameshinikiza hii sheria wakuu, wanawake au wanaume? Wamepimwa akili zao wako sawa?
hii ni hatari. Naona kuna dalili za dunia kufika tamati.[/QUOTE
Mungu akiamua, adhabu ya Sodoma na Gomora itakuwa cha mtoto
ama kweli wanaume ni viumbe waroho na wabinafsi
Nani ameshinikiza hii sheria wakuu, wanawake au wanaume? Wamepimwa akili zao wako sawa?
Hii nimeisikia lakini inaniwia vigumu sana kuamini kama kweli wanaweza kupitisha sheria kama hiyo.
Sitashangaa kama ni moja ya propaganda tu za wapinzani wa kisiasa katika jitihada zao kupakana matope na kuchafuana.
mkuu ulikua jela? Habari inasiku karibia tano ulimwenguni.
Nyani Ngabu welcome back ukiona mtu anakuletea ban achana nae maana unahitajka sana jamvin.
Hivi kwa nini ngono inapewa umuhim namna hii. Hisia za tendo inatoka wapi kwenye maiti.. Huu ni mfumodume Wa waarabu tu. Sasa na mwamke akifiwa na mume inakuaje? Atamuagaje?
Kusema kweli inatisha na kusikitisha sana! Bahati mbaya nimewahi kusikia kuwa hapa Tanzania kuna Kabila inayoendeleza utaratibu huu (japo wahusika wanasema tabia hii kwa sasa imebakia sehemu chache sana huko vijijini kwao).
Tuzidi kupiga vita mila ambazo zinahatarisha ubinadamu wetu!
Sifahamu kama hao wabunge wana akili timamu kujadili suala kama hili.poleni sana akina mama wa Misri
Hii ni kudhalilisha wanaume wote wa Misri na jamii ya waarab kwa ujumla! Hata wanyama hawafanyi hivyo! Muasisi wa huo muswada apimwe akili, sio mzima.
Hizi ni dalili za kifichi za ile deen ya mlengo wa kushoto kutaka jukwaa la wazi. Kuna mtu aliniambia kuzimu siku hizi haipo tena underground ila imetoka humo na inatembea kwenye bara bara za mitaa yetu mchana kweupe. Kwa hili la Misri nakubaliana nae.
.
muonayo hayo mambo mjue ule mwisho ukaribu
Dini gani? Duniani kuna dini nyingi sana. Fafanua hapa
Bunge jipya huko Misri linategemea kupitisha sheria ya kuruhusu wanaume waliofiwa na wake zao, kufanya nao ngono kwa lengo la kuwaaga. Muswada wa sheria hiyo mpya tayari imepingwa na wanaharakati wanawake kwa kuwa pia inaruhusu ndoa kwa mabinti walio chini ya miaka 14
Sheria hiyo itamruhusu mume kufanya mapenzi na maiti ya mkewe, ndani ya saa 6 baada ya kufariki. Sheria hiyo itajulikana kama KUAGANA KWA KUJAMIANA.
Source. Gazseti la Uhuru