Muswada kuruhusu mume kujamiana na maiti huko misri

mi sioni ubaya,kwani kujamiiana ni kukutana kimwili,na mtu anapokufa mwili c upo bado?waagane tu,mradi sheria iwaruhusu tu!maana sheria ni makubaliano ya wanajamii,inaonekana ni kitu cha ajabu kwa sababu ni kigeni tu,kama tungezaliwa na kukuta mambo haya yanafanyika ingekuwa ni kawaida kabisa
 
Mmmh. Kwa hiyo leo Tanzania wakitunga sheria kama hiyo au ya watu kutembea na wazazi wao wa kike na kiume, wewe utakuwa tayari kuitekeleza kisa ni makubaliano ya wanajamii?
 
Mkuu unajifanya unazunguka. Mkuu dini hiyo hiyo ipo Iran na nchi zote za Mashariki ya kati. Nadhani hawa wana matatizo yao tu

Nijuavyo mimi, wanaruhusiwa kuoa wanawake 4 leo na kesho kuwaacha wote na kuoa wengine wapya!
Sasa hayo ya ku-sex na marehemu naona ni Ushetani tu, si vingine.
Waliopeleka muswada huo ni wakala wa Iblisi mwenyewe.
 
Sifahamu kama hao wabunge wana akili timamu kujadili suala kama hili.poleni sana akina mama wa Misri

Mi nilidhani unawapa pole raia wote wa Masri kwa kuandaliwa sharia mbaya kiasi hicho, kumbe wewe unadhani ni tatizo la wamama tu?!, suppose sheria itamtaka kila mwanaume mfiwa kujamiiiana na marehemu kwa lazima! Na suppose ndugu yako atakuwa huko misri na kutakiwa kutekeleza sheria hiyo!. Unapotetea hoja kama hizo acha mfumo jike cum dume.
 
Tukiulizana iwapo kuna "maandiko" yanayoruhusu jambo hilo kuna watu watanuna humu, bora tuyaache yalivyo!
 
Back
Top Bottom