Muswada kurudishwa bungeni

Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Mdogo wangu Chris Lukosi, nakiri kuna wakati sikuelewi kabisaaa...hebu fikiria wakati ndugu zako Watanzania unapowaita misukule kwa sababu tu mnatofautiana kimawazo kiitikadi! Niliwahi kukupa ushauri kufikiria mara mbili kabla hujakurupuka humu jamvini kwani wengi unaojibizana nao huwajui ingawa wao wanakujua! Hukutaka kusikia. Kwa mfano nanukuu;
Nilikuwa na hakika kabisa kwamba baada ya matokeo kutangazwa siku ya pili, ungechukua time out kidogo ukatafakari msimamo wako na kauli zako...tofauti yako na wana jamvi wengi ni kuwa unao ndugu wa karibu, marafiki na washikaji wanaokusoma na kwa kweli unawasononesha. Hebu fikiria na hii, nanukuu;
Unaona sasa? Halafu leo unaona matunda ya harakati za wapigania haki, wewe huyo eti huyoo unatoa pongezi! Chris Lukosi, ukiona vyaelea vimeundwa! Unakula kivulini kwa sababu tu kuna watu wamehangaika juani ingawaje kwako ni misukule. Grow up kid and congratulations for coming down back to earth and now let's all join hands and together we confront the problems that haunt us day and night...ni ushauri tu!
 
wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
kumbe siku mojamoja na wewe mganga njaa wa uk huwa unatulia na kuifanya akili ifanye kazi yake na sio kama siku nyingine unawaza ukuu wa wilaya .
 
mkuu you have dugdeeper.kudos
 
Sio rahisi... Hata kama Kikwete atakuwa na nia hiyo, Pinda, Ndugai, Makinda, Wasira na Lukuvi "hawataruhusu"...
 
 

Ukweli upo wazi kuwa KATIBA MPYA sio SERA wala HOJA ya MACCM, na ndio maana wanaikwamisha, na kama utakumbuka hata mwanzo walipinga sana hao mawaziri wake pamoja na Viongozi wa Chama chake, Ila yeye akaamua kuwa LIWALO na LIWE, na MCHAKATO ukaanza.
 

Wewe uko dunia ya wapi siku hizi kuna mambo ya teleconference.vipi weyeeeee, achana na maisha ya kukariri be practical
 

safi sana kaka ushauri mzuri kwa watu wanaojitoa ufahamu makusudi kwa ajili ya maslahi yao binafsi kama huyu jamaa
 
Inatia moyo
Ila tuendelee na mazoezi ya viungo tu!!!
:msela::msela::msela::msela:
 
Sio rahisi... Hata kama Kikwete atakuwa na nia hiyo, Pinda, Ndugai, Makinda, Wasira na Lukuvi "hawataruhusu"...
Who is the boss then, au tunatawaliwa ki-kambare, kila anayechomoza ana sharubu!
 
mkuu post yako nimeipenda leo umefikiri kidogo. lakini hii inapingana na michango yako mingine kwenye post nyingine
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.

Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…