GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Musukuma amewataka wabunge wa chadema wapeleke muswaada bungeni wa kisheria utakaotoa nafasi ya watuhumiwa kama kinambowe kutokuwekwa ndani.
Msukuma amesema kilichowaweka ndani kina mbowe ni sheria walizozipitisha wenyewe bungeni.
Hivyo amewataka wabunge wapeleke mswaada bungeni utakaowalinda viongozi wa kisiasa wasiwekwe mahabusu hovyo.
Wao kama CCM wapo tayari kuunga mkono mswaada huo.
Source: star TV ajenda 2020