Musukuma: Wabunge wa chadema leteni muswaada bungeni.

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
968
1,000
Musukuma amewataka wabunge wa chadema wapeleke muswaada bungeni wa kisheria utakaotoa nafasi ya watuhumiwa kama kinambowe kutokuwekwa ndani.

Msukuma amesema kilichowaweka ndani kina mbowe ni sheria walizozipitisha wenyewe bungeni.

Hivyo amewataka wabunge wapeleke mswaada bungeni utakaowalinda viongozi wa kisiasa wasiwekwe mahabusu hovyo.

Wao kama CCM wapo tayari kuunga mkono mswaada huo.

Source: star TV ajenda 2020
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,413
2,000
MISWADA INGEKUWA HAITAFSIRIWI KISWAHILI PALE BUNGENI WATU KAMA MUSUKUMA WANGEKUA MABUBU:D:D:D
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,146
2,000
Kwa hiyo una maananisha nn? Sheria ni za kutumika kwa nchi ya waswahili halafu ziwe kwa lugha ya trump tupu! Wapinzani leteni hoja zenye mashiko basi sio hizi dharau nyepesinyepesi
Wanachotaka Upinzani ni kuwa kibaka kama kaua hata la saba hakufika hukumu inasomwa kiingereza mahakama kuu au rufaa !!!!! Kibaka katulia haambulii hata Moja linalosemwa.Sheria iko kiingereza kumsomea mswahili kesi kiingereza asiyejua hata neno Moja la kiswahili ndio Upinzani wanataka.Kuhusu Upinzani serikali iombwe na bunge itangaze siku maalumu ya kuutangaza Upinzani kama janga la kitaifa na bendera ya taifa ipepee nusu mlingoti.Naomba mheshimiwa Msukuma atoe hoja binafsi bungeni kwa niaba yangu kama mbunge wangu.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,733
2,000
Walete na muswaada wa kutaka makaburi yote kufufuliwa.watz tujue wa kina Nani hasa wamekuwa wakiitafuna nchi
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,406
2,000
Musukuma amewataka wabunge wa chadema wapeleke muswaada bungeni wa kisheria utakaotoa nafasi ya watuhumiwa kama kinambowe kutokuwekwa ndani.

Msukuma amesema kilichowaweka ndani kina mbowe ni sheria walizozipitisha wenyewe bungeni.

Hivyo amewataka wabunge wapeleke mswaada bungeni utakaowalinda viongozi wa kisiasa wasiwekwe mahabusu hovyo.

Wao kama CCM wapo tayari kuunga mkono mswaada huo.

Source: star TV ajenda 2020
Kwa nini yeye asipeleke huo mswada? Kama lengo ni kuwalinda viongozi wa kisiasa wasiwekwe maabusu hovyo, kwani CCM haina viongozi wa kisiasa? Au wanaolengwa ni viongozi wa vyama pinzani tu?
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,332
2,000
Musukuma amewataka wabunge wa chadema wapeleke muswaada bungeni wa kisheria utakaotoa nafasi ya watuhumiwa kama kinambowe kutokuwekwa ndani.

Msukuma amesema kilichowaweka ndani kina mbowe ni sheria walizozipitisha wenyewe bungeni.

Hivyo amewataka wabunge wapeleke mswaada bungeni utakaowalinda viongozi wa kisiasa wasiwekwe mahabusu hovyo.

Wao kama CCM wapo tayari kuunga mkono mswaada huo.

Source: star TV ajenda 2020
Awambie na CCM wapeleke Muswaada wa waliokopa Benki na kushindwa kulipa kama Yeye Nyumba zao zisiuzwe ahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom