Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 822
Maana yake RPC yupo chini ya mwenyekiti wa CCM mkoa.
“RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3” – MUSUKUMA
Mbunge wa Geita Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukuma ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa na Polisi na kulazwa rumande kwa zaidi ya saa 48 baada ya kudaiwa kuhujumu miundombinu ya maji.
Baada ya kuachiwa kwa dhamana ameongea na Ayo TV na millardayo.com kuhusu kosa lake lililofanya akamatwe na kusema pia kwamba RPC wa Geita ana roho mbaya.
Mungu tunusuru waja wako hali si shwariNUNGU TUNUSURU WAJA WAKO HALI SI SHWARI
Mbona hushangai daktari kikwete alivyosema akitaja wahalifu nchi itatikisikaKayaona maovu ila aliamua kuyalinda tu kwa sababu hakuwa na ugomvi na RPC. Huyu kweli la 7.
Gwajima mbona kama vile dishi limechezaHa haa haaaa,kauli kama ina kaukweli flani,though Gwajima yeye kama upstairs yupo vizuri kiasi,,,ila wote machachari
Rudi tumboni sasa!Mi toka kuzaliwa kwangu, sijawahi ona watu wenye roho mbaya kama wana CCM
Ushaamini 100%..ccm inatamani watanzania wote tuwe na kama akili zako but no way..that's impossible..tupo tunaojitambuaHuyo RPC wa Geita atakuwa labda wazungu wanampa hela ndefuuuu.. This is possible