Musukuma: “RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3”

“RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3” – MUSUKUMA

Mbunge wa Geita Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukuma ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa na Polisi na kulazwa rumande kwa zaidi ya saa 48 baada ya kudaiwa kuhujumu miundombinu ya maji.

Baada ya kuachiwa kwa dhamana ameongea na Ayo TV na millardayo.com kuhusu kosa lake lililofanya akamatwe na kusema pia kwamba RPC wa Geita ana roho mbaya.

Ccm chaka LA maovu,Polisi ina hitaji overhaul kama FAT ilivyobadilika na kuwa TFF
 
Kayaona maovu ila aliamua kuyalinda tu kwa sababu hakuwa na ugomvi na RPC. Huyu kweli la 7.
 
sijaelewa anayafichua maovu baada ya kukaa cell,na akiombwa msamaha anayameza? hiyo kali
 
Kayaona maovu ila aliamua kuyalinda tu kwa sababu hakuwa na ugomvi na RPC. Huyu kweli la 7.
Mbona hushangai daktari kikwete alivyosema akitaja wahalifu nchi itatikisika

Daktari Magufuli alivyosema hafukui makaburi licha anayajua

Na akina lema ,mbowe kumsafisha Lowassa waliyekuwa wanamkashifu
 
Viongozi na wabunge wa ccm ndio waliomuharibu . Wakati msukuma anawadharau na kuwadhihaki wabunge wa upinzani, wabunge wenzake wenye akili kama zake walimpiga makofi na vigelegele.

Mwana umliavyo ndivyo akuavyo!! Mbwa anaanza kumng'ata baba mwenye nyumba!!!!!!!
 
Ndani ya bunge alitaja mambo kibao yanayomuhusu Mh Makonda.

Nje ya bunge anamtishia Nyau RPC eti atataja mambo yake, kisa kuzuiwa asibugudhi wawekezaji.

Bila hilo asingemsumbua RPC au tuhisihisi kuwa hata yy alikuwa anapenyezewa senti mbili tatu na RPC ndo maana alimuacha ajilie bila bugudha.

Mhhh eti yy ni MTU mkubwa kushinda RPC hapa ndo maana KATIBA mpya ni muhimu tuondoe hayo mambo ya kipuuuzi viongozi wa vyama wakikaa mbele kwenye ziara za viongozi hujiona WAKUUBWAAAAA.
 
Alaaaaaa kuumbeee wanafichiana maovu yao..tuzinduke watanzania

Blaa blaa nyiiiingi yaani mengine wala hakutakiwa kuyasema ila kupenda sifa tu na kutamka kabla ya kufikiri side effect

Kajitangazia kuwa kaishia darasa la 7
Kumponda RPC kwa kiasi hiki basi inadhihirisha wazi kuwa huyu musukuma hana busara

Time will talk
 
Huyo RPC wa Geita atakuwa labda wazungu wanampa hela ndefuuuu.. This is possible
Ushaamini 100%..ccm inatamani watanzania wote tuwe na kama akili zako but no way..that's impossible..tupo tunaojitambua

Halafu pia useme kesi nne alizotuhumiwa huyu msukuma kasingiziwa maana mnawapenda sana lumumba creatures
 
Back
Top Bottom