Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

Mustakabali wa usalama wa Tundu Lissu

..scarry stuff indeed.

..inabidi hao wauaji wapotezwe kwasababu kuna watu wanaweza kuwatambua.

..I read somewhere kwamba walionekana kwenye maeneo ya bunge kabla ya kwenda kumshambulia TL.
Cctv itakua imewanasa??
 
T
Kwa Pressure ilivyo nadhani wapanga mikakati wamegundua jamaa ni maarufu kuliko waliyokuwa wanafikiria, wasipoangalia wameshajenga chuki mbaya sana na Raia wanajua ni wao wamefanya, Kitakachofuata watu wataanza kuwindana wao kwa wao, Mtu na mtu, Chama kwa chama, kabila kwa kabila mwisho wa siku siwezi tabiri kila mtu anajua
True
 
Chuki iko kwa raia wachache na wajinga wanaoamini vitu vyakulishwaaa bila ushahidi. Maana hadi sasa hamna ushadi wa aliyeona tukio ama uchunguzi juu ya mhusika halisi.
Unataka nani afanye uchunguzi akupe majibu uamini?.Wewe ndo wale Twaweza waliowasema,hivi katika hotuba alikuwa hausikii jinsi Lissu anavyochukiwa na serikali?Hukusikia kuwa bora wachache wafe kulinda rasilimali?.
 
Chuki iko kwa raia wachache na wajinga wanaoamini vitu vyakulishwaaa bila ushahidi. Maana hadi sasa hamna ushadi wa aliyeona tukio ama uchunguzi juu ya mhusika halisi.
Ukizingatia uhusiano kati ya dola na Lissu huwezi kuacha kuituhumu, matendo na kauli zao vinaweka mazingira ya kuhisiwa!. Jambo lingine linalo nifanya nihisi uhusika wa serekali ni jinsi inavyo shughulikia matukio kama haya!!! Haiwezekani roho zina angamia wakati mwenye jukumu la usalama anacheka cheka. Kuna wanao sema kuwa Chadema wanajihujumu, na kama ni kweli kwanini wasikamatwe kama wahalifu wengine????....inasikitisha sana kuwa dola inaona mzazi anaye amuwa kumkeketa binti yake huwa ametenda kosa kubwaaaa sana na yule anaye ondoa roho ya mpinzani HANA MAKOSA!!!!!!........pale Soweto Arusha nani alikamatwa????, Aliye mchinja mpinzani kwa chaini saw "dola ilimtorosha"........ jamani hebu nishawishini ili niache kuituhumu dola.
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Albadili haijawahi kumuacha mtu salama.
 
Tunasubiri wamuue tugawane mbao hao wasiojulikana
 
UNAISHI SAYARI IPI MKUU???

TEMBELEA ZANZIBAR UTAJUA NI NANI MPISHI WA YOTE HAYA

Kwa lugha hiyo, unathibitisha hofu yangu kwamba tayari mzizi wa chuki ndani mwako umeanza kuota. Hapo ulipo sijui unawaza kutenda lipi kutuliza hiyo hasira ya chuki. Lakini fahamu ya kuwa hatua yoyote ya kulipiza unayowaza itakusaidia wewe tu kutuliza hasira lakini madhara yake kijamii hayatakuwa yako mtu binafsi.

HASIRA HASARA
 
ccm Kuna plan A na B..... Plan A ya kumuuwa Lissu imeshindikana wamebaki na plan B ya kuondoa ukomo wa urais iliyo wasiliswa na Nkamia....
 
Kwa heshima zako humu jamvini, Mkuu Nyani Ngabu, tuachane na kuendeleza ujenzi wa chuki katika mioyo ya WaTZ, kwa shambulizi la Mh Lissu, ati linatokana na mtazamo wake kisiasa. Tuelekeze nguvu na maombi yetu katika uponyaji wake.

Nalisema hilo kwa sababu mijadala yetu humu, mitandaoni, vyombo vya habari, mwelekeo wake si wa kuinyooshea vidole tu Serikali kuhusika, ila CCM, kana kwamba CCM ni mtu ndiye aliyehusika.

JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA

na

AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI
Ki kwetu kuna msemo "usiogope giza ukakojoa ndani" kauli za mkuu mara karibu tatu ndani ya hii miezi miwili yaweza kuwashawishi vijana ndani ya system kufanya kazi hiyo , hata bila yeye kujua!! Tafuta clips za makabidhiano ya makinikia utanielewa!! Na kauli ya boss ni amri kumbuka!!
 
Sijui kama na nyie wengine mmelifikiria hili...

Pindi Mh. Lissu atapopona na kurejea katika hali yake ya kawaida [ni matumaini yangu atapona kabisa], hali ya usalama wa maisha yake na familia yake itakuwaje?

Ni nani atamlinda? Chama chake kitampatia walinzi binafsi wasio na uhusiano wowote ule na serikali ya CCM au?

Manake kwa jinsi ambavyo wingu la ushukiwa wa uhusika dhidi ya serikali ya Magufuli lilivyotanda juu yake, kweli kabisa mnadhani serikali ikitoa ulinzi huo ulinzi utaaminika?

Ingekuwa ni mimi nisingeweza kabisa kuamini walinzi nitakaopewa na watu ambao wananchi wengi wanawahisi kuwa ndo wahusika wakuu wa jaribio la ushambulizi dhidi ya uhai wangu!

Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba, kwa vile hao watu hawakumaliza hiyo kazi yao ovu [kumuua], huenda huko waliko sasa hivi wanapanga mkakati wa jinsi ya kuimaliza hiyo kazi endapo akirudi tena nchini.

Na je, Lissu atarejea tena nchini pindi apatapo afueni au ataamua kuishi ukimbizini kwa kuhofia maisha yake?

Mimi nadhani atarejea nchini hata kama hali ya usalama wake haitokuwa ya kueleweka wala kuaminika.

Kwa jinsi alivyo sitoshangaa kabisa kama atawathubutisha [dare them] wammalize kabisa kuliko kuacha kupigania kile anachokiamini.

Hili jambo naamini linaweza kuitia doa kubwa sana serikali ya Magufuli na CCM. Ni muda tu ndo utaotuambia kama huu ndo mwanzo wa mwisho wa CCM kushika dola na hatimaye kumeguka vipande vipande .

Jumapili njema.
Usiku wa kuamkia Leo Kibabu cha USA kimekukamatia vyema.
Naona akili zako zimerudi
 
Back
Top Bottom